Dr Kitila Mkumbo amwanika Mwigulu Nchemba

Dr Kitila Mkumbo amwanika Mwigulu Nchemba

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA na msomi aliyebobea Dr Kitila Mkumbo amesema CCM sasa imezidi kufubaa na kupauka.

Dr Kitila amesema kwa mwaka huu tu CCM imepoteza kata 7 walizokuwa wanashikilia kwa Chadema.

Dr Kitila amesema lililo wazi ni kwamba chaguzi ndogo sasa hivi ndani ya CCM zinasimamiwa na kijana mdogo aliyejaa dharau,kiburi na ulevi wa madaraka anayeitwa Mwigulu Nchemba.

Dr Kitila ameendelea kusema kijana huyu kutokana na dharau zake wananchi sasa wamekuwa wakichukua taswira yake kama ndiyo taswira ya CCM.

Amesema lililo wazi katika kata zote zilizofanya uchaguzi awamu hii ambapo kijana huyu aliweka kambi CCM ilianguka vibaya.

Kata ambazo Mwigulu aliweka kambi ni Kata za Iseke Singida,Iyela Mbeya,Dongobesh Mbulu na Arusha mjini ambapo kote CCM iliangukia pua isipokuwa Arusha ambapo uchaguzi wake utakuwa tarehe 30 June.

Dr Kitila amehitimisha kwa kusema anakumbuka enzi za John Malecela maarufu kama Tingatinga alipokuwa anasimamia chaguzi za chama hicho kwa weledi mkubwa ambapo ilikuwa ni ndoto kwa kata iliyokuwa inashikiliwa na CCM kunyakuliwa na upinzani.

Source:Raia Mwema.
 
Hata za Ubunge aliangukia pua labda za vijiji huko singida ndo anaweza.
 
Nashukuru bwana Kitila hakusema uchaguzi mdogo kijijini kwao walipozalowa wazazi wake pia ulisimamiwa na Mwigulu na yeye alipeleka magari, pesa, na kundi maalum la vijana kufanya fujo halafu matokeo anayajua mwenyewe.
 
Acha kukurupuka kijana, Hivi huoni hata aibu nyie mnatumia daftari la kupigia kura la tangu 2009 hadi leo 2013 yani kuna gap la miaka 4 ambapo kuna kizazi hapo cha vijana ambao wengi wao ni wafuasi wa CDM na hawajajiandikisha kupiga kura, Pia kuna wengi tu ambapo since 2009 hawakujiandikisha kutokana na elimu ya uraia kuwa chini, Sasa subirieni mabadiliko la daftari yafanyike ndipo mtakapofahamu kuwa CDM ni nguvu ya umma.
 
Mwigulu Nchemba ni mchumi daraja la kwanza jamani!
Record zake iko hivi:
Matusi = A+
Busara = 0-
Ujambazi = A
Uzinzi = A
Hekima = 0-
Ugaidi = A+
Uwongo = A+

Ilikuwa lazima apate daraja la juu sana

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mtu ana doma linamwaga matusi mazito! Kwenye facebook alikuwa anawadhalilisha dada zetu kisa wanaenda mwezi! Ni mwanasiasa mchafu wa maneno.. Hana hekima kwa kweli..
Bila kuweka unazi viongozi wengi wa ccm kwa sasa si viongozi.. Ni watu wa ajabu ajabu.. Sijui wameokotwa wapi..
 
Kila chaguzi anazosimamia lazima mauaji yatokee,hii inaonyesha jinsh huyu mwigilu anavyofanya siasa chafu.
 
Kitila anahangaika atakuja kuangukia kwenye kina cha maji na wa kumtoa hakuna,tunajua kitila anataka kwenda kugombea ubunge jimboni kwa mwigulu hivyo anajitahidi kumchafua.

lakini afahamu kuwa mwigulu hachafuki kwa namna hiyo hapo anapima kina cha maji kwa miguu yote miwili.

kwa nini hujamuuliza ule uchaguzi uliofanyika kwenye vijiji ambavyo kitila na mwigulu walizaliwa na alienda kwenye kampeni indirect aseme kilichomkuta asifiche.
 
Mwigulu Nchemba ni mchumi daraja la kwanza jamani!
Record zake iko hivi:
Matusi = A+
Busara = 0-
Ujambazi = A
Uzinzi = A
Hekima = 0-
Ugaidi = A+
Uwongo = A+

Ilikuwa lazima apate daraja la juu sana

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Haya maneno tu na kwenye khanga yapo tatizo lenu la bavicha fikra lakini hoja tatizo.
 
Mwigulu hachafuki hata mkijikusanya na kutumia matope ya aina yoyote.

CHADEMA mlikuwa mmezoea vya kunyonga kwa sasa hali ya kisiasa ndani ya CCM imebadilika na kwa sasa tunawaletea vya kuchinja na kama mlivyo weupe kihoja, vimewashinda.

CHADEMA hawana hoja tena mezani kwa sababu ngoma ya hoja ya ufisadi mlio wake wananchi wameuchoka kuusikia ikichukuliwa kuwa ndani ya CHADEMA kuna ufisadi wa kila siku unaoharalishwa kupitia CHADEMA Central Commettee.

Baada ya kuwajibu hoja zao kwa sasa wanakuja na style ya political cherry picking. Huyu Dr. Kitila hata watu wa kijijini kwake hawakumpa kura halafu ndiyo anapata moral authority ya kuisemea Tanzania. He's making hullabaloo for nothing.

Dr. Kitila. Welcomme to ground zero.
 
Mwigulu Nchemba ni mchumi daraja la kwanza jamani!
Record zake iko hivi:
Matusi = A+
Busara = 0-
Ujambazi = A
Uzinzi = A
Hekima = 0-
Ugaidi = A+
Uwongo = A+

Ilikuwa lazima apate daraja la juu sana

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Well said mkuuuu.....,.bado cjui anaringia nn huyu mbwa
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu hachafuki hata mkijikusanya na kutumia matope ya aina yoyote.

CHADEMA mlikuwa mmezoea vya kunyonga kwa sasa hali ya kisiasa ndani ya CCM imebadilika na kwa sasa tunawaletea vya kuchinja na kama mlivyo weupe kihoja, vimewashinda.

CHADEMA hawana hoja tena mezani kwa sababu ngoma ya hoja ya ufisadi mlio wake wananchi wameuchoka kuusikia ikichukuliwa kuwa ndani ya CHADEMA kuna ufisadi wa kila siku unaoharalishwa kupitia CHADEMA Central Commettee.

Baada ya kuwajibu hoja zao kwa sasa wanakuja na style ya political cherry picking. Huyu Dr. Kitila hata watu wa kijijini kwake hawakumpa kura halafu ndiyo anapata moral authority ya kuisemea Tanzania. He's making hullabaloo for nothing.

Dr. Kitila. Welcomme to ground zero.

Ooh..! Boy...!
 
kumuongelea mwigulu ni sawa na kupoteza mda kwani mwenyewe mwigulu hajielewi so no need to utter him as our main discusion
 
Na kama Ccm wakiendelea kumtumia Mwigulu kwenye Chaguzi , basi Bila shaka wategemee Maumivu zaidi , maana kwa uchunguzi nilioufanya ; hasa kwenye Eneo la Tanganyika , ukiacha SHETANI anayelaaniwa kwenye nyumba zote za Ibada , mwingine anayefuatia kwa kulaaniwa All over the country ( Tanganyika ) anaitwa MWIGULU NCHEMBA .
 
Jamani kila jambo na msim wke mbona mnataka kubisha huu ndio mwisho magamba
 
Back
Top Bottom