kwa wale msiojua ni kwamba ZITTO KABWE yupo ujerumani hapa jijini Hamburg japo sifaham yupo toka lini ila jana majira ya jion nimefanikiwa kuonana na mmoja kati ya kiongozi wa social democratic...
Wana-JF!
Suala la matumizi ya DVR kwenye mikutano ya chadema ni danganya toto na ni mbinu ya viongozi wa chama hicho kujitafutia umaarufu kuwa chama chao ni cha 'kidigitali' zaidi.
Viongozi...
Vyombo vya usalama Tanzania vinaongoza kwa udhaifu wa kushindwa kutoa habari mwendelezo wa Matukio mbalimbali yanayotokea hapa nchini ambayo huwa ni tishio kwa namna moja ua nyingine kwa usalama...
Ndugu,wana jf wenzangu nina mambo ya kuwa shirikisha tuyatafakari na kuwaeleza jamii inayo tuzunguka juu ya [upuuzi wa ccm na vibaraka wake,] napenda nilizungumzie tukio la soweto arusha,ambalo...
...Sasa ile meli nayo si izamishwe kabisa kuepusha haya maendelezo...tembo wataisha jamanyiii!!
Illegal ivory destroyed by the Philippines
Destroying the stockpile ensures that seized ivory...
Wanajamvi napenda sote tuwaangalie na kuwachambua kwa umakini viongozi wafuatao.
Binafsi nawaona kuwa ni janga la taifa. Nitawaja baadhi yao kwa majina na kauli zao juu ya hali ya ukosefu wa...
Jibu "NDIYO" kama unakubali, au "HAPANA" kama hukubali.
Tafadhali piga kura kura hii kutoa tasira ya hisia za watanzania walioathika na shambulio hilo! Hii ni njia nyingine kuwaambia watawala...
MBUNGE wa Kondoa Kusini, Juma Nkamia (CCM), kwa mara nyingine ameingia katika kashfa nzito akituhumiwa kutaka kumpiga Mbunge wa Viti Maalumu CUF, Moza Abeid ndani ya Ukumbi wa Bunge.
Tukio hilo...
Sunday, June 23, 2013 CCM inahusika
TAMKO LA MCHUNGAJI MTIKILLA LAIBUA UTATA MPYA
MAZINGIRA ya kabla na baada ya tukio la mlipuko wa bomu lililotokea mkoani Arusha katika mkutano wa kampeni wa...
Mtafiti wa taasisi ya mambo ya kisiasa ya kuchunguza mambo ya siasa na msomi wa chuo kikuu cha DAR ES SALAAM(USDM)ndugu John M. Malibwa ametoa jibu la uchunguzi wake juu ya mambo ya kisiasa nchini...
Wakati USA ilipotokea mlipuko huko Boston, Rais Obama aliacha kila kitu na kwenda ikulu kuliutubia taifa
na pia ulipotokea shambulio la train huko uingereza waziri mkuu wao alitoa statement na...
CUF KUANDAMANA 29 JUNI HADI IKULU,PROF.LIPUMBA KUONGOZA,MAANDAMANO KUPOKELEWA NA RAIS KIKWETE.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
22/06/2013
MAANDAMANO YA AMANI YA CHAMA CHA WANANCHI CUF,
TAREHE 29...
Jamaa ni bingwa wa kukimbia kivuli chake hamna mfano wake. Amefanya mengi sana na amekuwa akiyakana kila anaporudiwa na uelewa wake. Binafsi ninahisi kwamba huwa anafanya maamuzi kwa kupaniki...
I have been thinking a lot recently on the current situation in my country. I have recalled the many phases that this country has passed thru. I have seen the eyes and faces of my fellow...
Ukiwa ni kiongozi wa Tanzania unakuwa kama kamungu fulani hivi.Si unajua huwezi mlazimisha "mungu"kufanya kama hajaamua yeye?Je,huu "umungu"unatoka wapi?(labda katiba na uoga wetu).
Mtu anachukua...
Chama cha Mchungaji Christopher Mtikila cha Democratic Party (DP) kimetoa Tamko kuhusu tukio la ulipuaji wa bomu uliotokea mnamo tarehe 15 juni 2013 katika Uwanja wa Soweto jijini Arusha.
Tukio...
wale mlioangalia Bunge siku ya jana mtakubaliana na mimi kwamba serikali ya CCM ilitumia muda wa jana kufanya propaganda juu ya kilichotokea Arusha kwenye mkutano wa CHADEMA Viwanja vya soweto...
Tuesday, June 18, 2013WAATHIRIKA WA MABOMU ARUSHA ,WATEMBELEWA NA VIONGOZI WA KITAIFA
KATIBU MKUU WA CCM Ndg.ABDULRAHMAN KINANA AKIWASILI KWENYE OFISI YA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.