tatizo la Mheshimiwa ni kueleza hisia zake binafsi pale anapoona mabo hayaendi vyema. Hakawii kushikwa na hisia kali. alitakiwa ajibu kama serikali, kama waziri mkuu, kama msimamizi wa sheria yeye akajibu kama Mizengo Kayanza Peter Pinda. kwa hisia kama hizo jibu lilikuwa sahihi kwa nafasi yake ameeleweka tofauti.