Tujikumbushe: Polisi walianza kuuawatu ktk mikutano ya siasa mara tu baada ya kuanza vyama vingi

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Kama mnakumbuka huko Visiwani wakati wa utawala wa aliyejiita Komandoo mara tu baada ya usajili wa vyama vingi polisi walimuua mfuasi mmoja wa CUF katika kijiji cha Shumba Mjini mapema June 1993 wakati mtu huyo akipandisha bendera ya chama chake katika tawi lililofunguliwa kijijini hapo.

Kama mtakumbuka OCD wa eneo hilo katika kujitetea alisema askari aliyefyatua risasi alilenga juu na risasi ikampiga marehemu wakati inarudi ardhini!

Kwa hiyo hawa polisi wa CCM wamezoea kuua katika shughuli za mikutano ya kisiasa mara tu baada ya firimbi ya vyama vingi kupulizwa.

In fact ni jadi yao.
 
Yes, nalikumbuka tukio hilo. Yule OCD alishangaza sana kwa majibu yake! lakini huo ulikuwa mwanzo wa mauaji by the polisi na apex iluifikia January 27 2001 kule Pemba.
 
Poleni sana. Nikikumbuka mauaji haya huwa nasikitika sana ila ninachoshangaa ni kwa nini SSM inaendelea kuwa madarakani? Elimu kwa mpiga kura ianze sasa.
 
Wakuu kadiri siku zinavyozidi kwenda hali inazidi kuwa mbaya,mauaji haya ya raia hata kama wanamakosa hayavumiliki,embu tujikumbushe tangu msuguano huu umeanza kati ya serikali na CDM wameshauawa watu wangapi,pia hata kama kuna raia wengine wameuawa na jeshi letu la polisi wakati wakidai haki zao za msingi tuwaanike hapa....halafu wataalamu wa haki za binadamu na wanasheria watuelezee kama kwa idadi hiyo kuna uwezekano wa raia wema kwenda mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa binadamu na kuifungulia mashitaka serikali ya jamhuri ya muungano ya Tanzania kwa mauaji ya raia wake.
 
1)Kwanini serikali ya CCM ilianzisha mfumo wa vyama vingi wakati ikiwa haiko tayari?
2)Je vyombo vya ulinzi na usalama viliandaliwa kabla ya kuingia mfumo wa vyama vingi?
3) Kama tunataka diplomasia na Malawi kuepusha vita, nini kinashindikana within ourselves kuepusha mauaji?
4) Viongozi wa serikali ya CCM, haya mauaji yanayotekelezwa na Policcm ndilo mlilokusudia kudhibiti Upinzani?
5)Je mnataka nasi wananchi tuanze kulipiza visasi kwenu (viongozi wa serikali, Police)na kwa Familia zenu?
 
Polisi laana tu. Mie nilishuhudia askari polisi akipigwa na huku wanakijiji wakishangilia. Ni suala la wakati tu, upepo utageuka tu.
 
Kama mnakumbuka huko Visiwani wakati wa utawala wa aliyejiita Komandoo mara tu baada ya usajili wa vyama vingi polisi walimuua mfuasi mmoja wa CUF katika kijiji cha Shumba Mjini mapema June 1993 wakati mtu huyo akipandisha bendera ya chama chake katika tawi lililofunguliwa kijijini hapo.

Kama mtakumbuka OCD wa eneo hilo katika kujitetea alisema askari aliyefyatua risasi alilenga juu na risasi ikampiga marehemu wakati inarudi ardhini!

Kwa hiyo hawa polisi wa CCM wamezoea kuua katika shughuli za mikutano ya kisiasa mara tu baada ya firimbi ya vyama vingi kupulizwa.

In fact ni jadi yao.
I am trying to connect dots.
 
Back
Top Bottom