Mauaji holela ya raia TZ: Special Update Thread

Cynic

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
5,144
1,648
Mauaji holela ya raia TZ na askari au dola yamekuwa yakitokea kila kukicha, na yamekuwa yakijirudia rudia. Wauaji wamekuwa wakijitetea kwa sababu nyepesi nyepesi. Bahati mbaya sana record huwa haziwekwi. Hebu tujaribu kuweka record sawa kwenye thread hii.

2005 todate

Songea (watu ?)
Arusha (watu ?)
Tabora(watu ?)
Mbeya(watu ?)

1995 - 2005

Pemba (Watu 27)

1985-1995

Dar (Mwembechai) (watu ?)

1961 - 1985

(wenye data wekeni)


Note: 'Naming and shaming with data ' ni moja kati ya njia za kupambana na udhalimu huu...
 
kwani Tanzania ni tunao hawa jamaa wa haki za binadamu? wamelala au katiba haiwapi nafasi yoyote?
 
Mauaji yanalendelea, Leo ..

Morogoro, Maguba (5)


Mwanajeshi aua wananchi watano kwa risasi

WATU watano wa kijiji cha Maguba, wilayani Ulanga mkoani Morogoro, wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa kwa risasi na mwanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), katika mapambano ya kujihami baada ya wananchi hao kuvamia ....

Source Habari leo
 

Update: August 27, 2012


Mauaji ya polisi yaliendelea tena jana..

Morogoro (kijana mmoja apewa adhabu ya kifo papo kwa papo na polisi kwenye mkutano wa CDM!) Sad indeed!
 
Nafikiri hizi taasisi kama LHRC,TGNP ni wakati muafaka kuchukua hatua stahiki hata kama ni nje ya nchi waende ICC.
 
Update: September 2, 2012: Nyololo, Iringa

Mwandishi wa habari wa Chanel Ten auwawa na Polisi. Naanza kuamini kwamba hizi ni institutionally organized killings!
 
Arusha wananchi wameuawa kwa bomu tarehe 15 Juni 2013 kwenye kampeni za uchaguzi mdogo CDM, kwa bomu lililotupwa na polisi na wenginer kwa risasi za polisi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom