Vijana wa CHADEMA wamejipanga kulinda kura zao Arusha kwa gharama ya damu kuliko kuibiwa

olevaroya

JF-Expert Member
May 6, 2012
1,224
512
Vijana wa chadema wamejipanga kulinda kura zao kwa gharama ya damu zao kuliko kuibiwa kura hata moja siku ya jpili tar 30/6/2013 vijana wameamua kulinda kura watu wote mjitokeze bila hofu kupiga kura .chadema. Aluta continua mapambano bado yanaendelea hakuna kurudi nyuma.
 
Mimi ninampango wa kuchukua likizo kwenda kuwajengea uwezo wanakijiji wangu kule upareni waanze kujiamini na kujitambua. Pale kijijini kwangu kuna kituo cha polisi kina polisi wasiozidi 10 tu, hao tutawadhibiti tu. Hivi sijui 2015 polisi watagawanywaje, kwa sababu sijui waapelekwa wengi Arusha, au Mwanza, au Mbeya, au Sumbawanga. CCM iwatumikie wananchi ili kuwafanya wakubalike. Wakumbuke tu kuwa hata wale ambao wanamkumbuka Nyerere, hawaitaki kwa sababu hawafanyi yale aliyoyaacha Nyerere. Lakini kundi kubwa la wapigakura wa mwaka 2015 wamezaliwa baada ya mwaka 1992 kwa hiyo, wanajua mfumo wa vyama vingi. Tutashinda
 
Kwakweli hata mimi nimejipanga kupiga kura! Lakini nina wasiwasi na uchaguzi huu kutofanyika!:disapointed:
 
Polisiccm awatuwezi sasa hivi tunakuja na mbinu mpya hatutakubali,tunaishi nao mtaani tutawakomesha tena wanalewaga kufala,tutawachinja kama kuku
 
Mimi ninampango wa kuchukua likizo kwenda kuwajengea uwezo wanakijiji wangu kule upareni waanze kujiamini na kujitambua. Pale kijijini kwangu kuna kituo cha polisi kina polisi wasiozidi 10 tu, hao tutawadhibiti tu. Hivi sijui 2015 polisi watagawanywaje, kwa sababu sijui waapelekwa wengi Arusha, au Mwanza, au Mbeya, au Sumbawanga. CCM iwatumikie wananchi ili kuwafanya wakubalike. Wakumbuke tu kuwa hata wale ambao wanamkumbuka Nyerere, hawaitaki kwa sababu hawafanyi yale aliyoyaacha Nyerere. Lakini kundi kubwa la wapigakura wa mwaka 2015 wamezaliwa baada ya mwaka 1992 kwa hiyo, wanajua mfumo wa vyama vingi. Tutashinda

Ila uangalie wasichukue na wa mikoan, otherwise big up kwa uamuzi mzuri
 
Juzi nilikuwa naongea na afisa mmoja wa jeshi la magereza ambaye alipata kuwa mwanachama wa uvccm kabla hajaingia jeshini akanithibitishia namna ambavyo ccm imekuwa ikiwatumia vijana wake wa green guard kuvuruga mikutano, maandamano na chaguzi mbalimbali nchini hasa pale matukio hayo yanapovihusisha vyama vya upinzani ambavyo ni strong.
Akanielezea jinsi walivyokuwa wakiihujumu NCCR Mageuzi ya Mrema na baadae walivyohamishia mashambulizi kwa CUF baada ya kifo cha NCCR mageuzi.
Kwa muktadha huo na kwa kuzingatia taarifa ambazo zimevuja kuwa ccm imepeleka vijana wake wa green guard kutoka mikoa mbalimbali jijini Arusha ni dhahiri kuwa kuna uwezekano mkubwa sana uchaguzi ukavurugika kama watafanikiwa kujipenyeza na kufanya vurugu kama walivyotumwa na ccm.
Makamanda wa Arusha lazima mjipange kwa hali zote kuhakikisha kuwa green guard hawapati nafasi ya kuvuruga uchaguzi.
 
Mimi ninampango wa kuchukua likizo kwenda kuwajengea uwezo wanakijiji wangu kule upareni waanze kujiamini na kujitambua. Pale kijijini kwangu kuna kituo cha polisi kina polisi wasiozidi 10 tu, hao tutawadhibiti tu. Hivi sijui 2015 polisi watagawanywaje, kwa sababu sijui waapelekwa wengi Arusha, au Mwanza, au Mbeya, au Sumbawanga. CCM iwatumikie wananchi ili kuwafanya wakubalike. Wakumbuke tu kuwa hata wale ambao wanamkumbuka Nyerere, hawaitaki kwa sababu hawafanyi yale aliyoyaacha Nyerere. Lakini kundi kubwa la wapigakura wa mwaka 2015 wamezaliwa baada ya mwaka 1992 kwa hiyo, wanajua mfumo wa vyama vingi. Tutashinda

Kijijini kwako ni wapi huko Upareni???
 
Hata mimi pia nitajitolea sana katika muda wangu wa likizo kuwaelimisha wananchi wanzangu huko kijijini maovu yanayofanywa na serikali ya ccm.
 
Vijana wa chadema wamejipanga kulinda kura zao kwa gharama ya damu zao kuliko kuibiwa kura hata moja siku ya jpili tar 30/6/2013 vijana wameamua kulinda kura watu wote mjitokeze bila hofu kupiga kura .chadema. Aluta continua mapambano bado yanaendelea hakuna kurudi nyuma.

Tufafanulie unavyosema kwa garama ya damu unamaanisha nini?
 
Uchaguzi wa kata nne arusha waahirishwa mpaka tarehe 14 july 2013, reason tume inadai bado arusha hakujatulia hivyo wameamua kusogeza mbele zaid
source mpekuzi
 
[JFMP3][/JFMP3]

Wewe nahavache unamjua huyo aliyekuliza kijijini kwako ni wapi? unengolwa meso unemanya mwenye.

Kumbe ushajua zao eee, kung'ola meso, nkombe nk, kama walivyomfanyia yule kiongozi wa madakitari na mwandishi wa watu.
 
Back
Top Bottom