LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 533
1. Tumeshuhudia mauaji ya kutisha ya Daudi Mwangosi kule Nyololo, Iringa, yule askari aliyemlipua Mwangosi hakushtakiwa kwa ugaidi
2. Polisi wameua watu zaidi ya 10 kule Mtwara, hao sio magaidi, simply kwa sababu bosi wao Pinda kasema "piga!"
3. Jack Zoka @ Ramadhan Ighondo alipomshambulia, kumteka na kumtesa vibaya Dr Ulimboka, gazeti lililofichua unyama huo (MwanaHalisi) liliishia kuwekwa kapuni wakati Ighondo ambaye sio "gaidi" kwa CCM akiendelea kula kuku tu mtaani.
3. Kibanda amefanyiwa yale ya Ulimboka hatujasikia story za "ugaidi!"
4. .....
Yanapokuja makosa ya kawaida tu ya jinai CCM wanaikimbilia Sheria ya ugaidi kama ngao yao ili kuidhibiti CDM!
NAWASILISHA KWA MJADALA!
.