Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,439
- 826
Wanajamvi,
Nisaidieni, hivi mzee kama Lukuvi kujivika uhuni kama wa akina Mwigulu, Nkamia, Serukamba, n.k., si anajiaibisha na kudhalilisha ccm ya Nyerere? Kwanini amseme hivyo mbunge mwenzake?