JUKUMU
Member
- Apr 5, 2009
- 88
- 42
Ni jambo ambalo halina ubishi kwa wale wasomaji au wafuatiliaji wa mambo ya historia. Hakuna nchi ambayo imewahi kuwa na utawala kama wa CCM na ukakubali kuondoka bila kukwaruzana na vyama vya upinzani. Yaani mpaka Tanzania ije kutawaliwa na chama cha upinzani mambo mengi yakutisha yatatokea. Mwisho wa siku ni mapinduzi tu. Kwa wale wapinzani wasidhani kuiondoa CCM ni rahisi kihivyo. Ili kuweza kuipunguza makali CCM, na baadae kuiondoa kwenye utawala mambo makuu ya kufanya ni haya:
1. Jambo la muhimu ni kuongeza idadi ya wabunge, angalau mfikie nusu ya wabunge wanaotakiwa ndani ya bunge.
2. Elekezini pia nguvu zenu huko vijijini hapa mjini watu wameshafunguka, hapa ndipo ccm inawapiga bao ikifikia uchaguzi, kuna maeneo mengi sana ambayo wapinzani hata hawafamiki na wala hawajui kama wapinzani wapo.
3.Wakaribisheni wasanii ambao wanasoko katika jamii, hawa watawasaidia sana kwenye kuondoa matongotongo yaliyoziba macho ya wengi(ccm wanatumia sana hii uchaguzi ukikaribia) ila msisubiri uchaguzi ukaribie...anzeni mapema.
4. njia ambayo ni halali kwa waliowengi kwenye historia ni revolution, matafikia hapa kama hizo hapo juu mtakuwa mmezitimiza.
5...............unaweza kuongeza nyingine kama unazijua.....