kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
EBU watanzania tuwe realistic,hivi kweli chadema ni chama kinachoweza kupewa ridhaa na wananchi ili kiunde dola?hivi kweli rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania awe padri alitoroka kazi ya Mungu madhabahuni?halafu PM awe mmiliki wa danguro linalokwenda kwa jina la Bilicanaz?eti Sugu awe waziri wa michezo,Wenje atuwakilishe nje ya nchi...mmmm..Lucy OWENYA naye aukwae uwaziri hivihivi tu..hivi jamani kweli hiyo ni safu ya kuongoza taifa kubwa kama Tanzani?JAMANI watanzania kweli tuiweke nchi yetu rehani?na je tuiweke rehani ili kumfaidisha nani?