Bunge lapwaya: Ni baada ya kukosa changamoto za CHADEMA


T

The Conquerer

Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
79
Likes
0
Points
13
Age
39
T

The Conquerer

Member
Joined Aug 16, 2012
79 0 13
Kuanzia juzi, bunge limepigwa na ubaridi na maeneo ya bunge yamekuwa kimya baada ya wabunge wote wa CHADEMA kutokuwepo maeneo ya bunge. Wabunge wote wa CHADEMA wapo Arusha kuomboleza pamoja na wananchi kufuatia mlipuko wa bomu uliotokea tarehe 15 Juni, 2013 katika kampeni za CHADEMA. Hata hivyo polisi waliendelea kuvunja amani kwa kuwapiga wananchi kwa mabomu hali iliyosababisha maombolezo na kuaga miili ya marehemu kushindikana kufanyika jana.

MPAKA SASA BUNGE AMBALO NI CHOMBO CHA UWAKILISHI WA WANANCHI HALIJATOA TAMKO LOLOTE, NA LIMEENDELEA KUJADILI BAJETI YA SERIKALI KAMA VILE HAKUNA JAMBO LILILOTOKEA. HATA HIVYO MAJADILIANO YANAYOENDELEA YAMEKOSA MVUTO KWA KUWA MAJEMBE YA CHADEMA HAYAPO MJENGONI. BUNGE NA MAZINGIRA YA BUNGE KWA UJUMLA YAMEPWAYA SANA.
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Likes
5
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 5 0
Hapa hatuna Bunge kabisa, hao ni makada wa CCM wanjifurahisha kwa kuunga mkono serikali mia kwa mia,
 
Return Of Undertaker

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Messages
3,515
Likes
16,279
Points
280
Return Of Undertaker

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2012
3,515 16,279 280
Thanks ndo ukweli wenyewe
 
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Messages
3,524
Likes
93
Points
145
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2007
3,524 93 145
Bunge limebaki na mazezeta watupu ambao hawawezi kusimamia kile wanachoamini badala yake huambiwa nini cha kuzungumza na chama chao CCM.
 
D

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Messages
2,347
Likes
474
Points
180
D

delako

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2012
2,347 474 180
Ni bunge au mkutano wa ccm pale chamwino?CC hamekosena mwenyekiti tu
 
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
21,517
Likes
18,106
Points
280
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
21,517 18,106 280
hilo sio bunge ni NEC ya ccm.!!
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
28,441
Likes
34,039
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
28,441 34,039 280
Nimewahi kuona baraza la madiwani la Tunduru likiendesha kikao chao. Hakikuwa na tofauti na kikao cha Bunge kilichokaa siku mbili hizi. Tofauti tuu ni uzuri wa ukumbi wa Dodoma Bungeni dhidi ya ule wa Tunduru.
 
wamogori

wamogori

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Messages
888
Likes
10
Points
35
wamogori

wamogori

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2013
888 10 35
vipi kuhusu matusi na lugha za kuudhi nazi hazisikiki?
 
Ukwaju

Ukwaju

JF Bronze Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,273
Likes
1,744
Points
280
Ukwaju

Ukwaju

JF Bronze Member
Joined Oct 19, 2010
9,273 1,744 280
SASA KM WAJINGA WANADENGUA KUHUDHUIRIA WALIFIKIRI BUNGE HALITAENDESHWA?
Hata kwa miaka yote iliyobaki Serikali ya tanzania itakuwepo na kila kitu kitaenda bila kipingamizi chochote
Hivi Bunge lenye Kebehi madharau faida yake ni nini mliyoipata toka CHADEMA waingie humo Ukumbini
Ni vizuri kabisa na kwenye Katiba iorodheshwe watakaosusa au kuomba Muongozo Kura zipigwe na Bunge litaamua kutokna na kura
Sasa hao Wabunge wanaozila kuhudhuria wanajua ni Kodi za nani zinazowalipa Marupurupu na mishahara?
 
Gefu

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
6,952
Likes
273
Points
180
Gefu

Gefu

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2010
6,952 273 180
...chamatawala kimehamia Arusha na dunia na vyombo vya habari vimehamia huko....hutaki unaruhusiwa kulia...
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Likes
5
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 5 0
Mkuu ukiturushia hapa CV yako kwa ufupi tu tungekupa ushauri wa kukufaa maishani. Lakini sishangai kwa mawazo uliyotuandikia hapa mtu naweza akakujua mara moja wewe ni mtu wa aina gani. Upo msemo wa hekima usemao kwamba, "Ni mpumbavu tu ambaye hujufunza kwa makosa yake mwenyewe, lakini mwenye hekima yeyote hujifunza kwa makosa ya watu wengine"
Tafakari kwa kina ushauri huu, ni mchawi tu anayeshangalia msiba wa mtu lakini jirani mwema hutumia msiba wa mtu kutafakari na yeye msib utakaapomkuta na yeye nyumbani kwake. Maana mtu anayejua kuandika, kiwango cha makosa huwa kidogo sana kuliko msemaji wa moja kwa moja.

TAFAKARI-!!!!!!!!!!!
 
KIHENGE

KIHENGE

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Messages
339
Likes
4
Points
0
KIHENGE

KIHENGE

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2011
339 4 0
SASA KM WAJINGA WANADENGUA KUHUDHUIRIA WALIFIKIRI BUNGE HALITAENDESHWA?
Hata kwa miaka yote iliyobaki Serikali ya tanzania itakuwepo na kila kitu kitaenda bila kipingamizi chochote
Hivi Bunge lenye Kebehi madharau faida yake ni nini mliyoipata toka CHADEMA waingie humo Ukumbini
Ni vizuri kabisa na kwenye Katiba iorodheshwe watakaosusa au kuomba Muongozo Kura zipigwe na Bunge litaamua kutokna na kura
Sasa hao Wabunge wanaozila kuhudhuria wanajua ni Kodi za nani zinazowalipa Marupurupu na mishahara?
tatizo ya mnaonunuliwa mnawaza pesa tu mda wote, NAIJUE KODI ZA MNAOWAUA NDO ZINAWALIPA HAYO MARUPURUPU NA MISHAHARA TATIZO LENU MNAAMINI WAZUNGU WATAWAPA KILA KITU!
 
Bartazar

Bartazar

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Messages
980
Likes
364
Points
80
Bartazar

Bartazar

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2011
980 364 80
SASA KM WAJINGA WANADENGUA KUHUDHUIRIA WALIFIKIRI BUNGE HALITAENDESHWA?
Hata kwa miaka yote iliyobaki Serikali ya tanzania itakuwepo na kila kitu kitaenda bila kipingamizi chochote
Hivi Bunge lenye Kebehi madharau faida yake ni nini mliyoipata toka CHADEMA waingie humo Ukumbini
Ni vizuri kabisa na kwenye Katiba iorodheshwe watakaosusa au kuomba Muongozo Kura zipigwe na Bunge litaamua kutokna na kura
Sasa hao Wabunge wanaozila kuhudhuria wanajua ni Kodi za nani zinazowalipa Marupurupu na mishahara?
Naogopa kupigwa ban, serukamba you.... Ipo siku isiyo na jina mtatoa hesabu ya mauaji yote mliyoyafanya kwa uroho wa madaraka! uwezo wako wa kufikiri umeishia kwenye pua yako! Umejaa ujinga unaotokana na kuvimbiwa ufisadi! Umeniharibia siku kabisa!
 
M

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Messages
6,799
Likes
1,949
Points
280
M

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2010
6,799 1,949 280
​hamna bunge bali wauaji tu
 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,498
Likes
2,644
Points
280
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,498 2,644 280
Bunge limekuwa kama mkusanyiko wa watu kwenye burudani ya Taarabu tena ukizingatia komba yupo
 
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Messages
4,807
Likes
257
Points
180
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2012
4,807 257 180
Bunge la CCM halina mvuto tena
 
E

EMMANUEL MASONGA

Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
35
Likes
2
Points
15
Age
34
E

EMMANUEL MASONGA

Member
Joined Aug 1, 2012
35 2 15
Hutakiwi kubishana na ukweli na kutukana pale unapokuwa na maslahi yako binafsi katika mijadala ya humu JF, tukikubali ukweli hatutaweza kushindana nao, mtoa hoja umetoa hoja muhimu sana nasikitika watanzania hatutaki kukubali ukweli kuwa bunge sasa ni genge la kutetea mambo ya watawala nimefuatilia mjadala hakuna hoja za wananchi zaidi ya kuzungumzia kwa kejeli juhudi za CHADEMA. Mungu atujalie tuweze tambua nini kama nchi tunahitaji kufanya na watanzania watambue ni aina gani ya uongozi wanahitaji kuwapa ridhaa ya kuwaongoza kwa wakati ujao.
 
T

The Conquerer

Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
79
Likes
0
Points
13
Age
39
T

The Conquerer

Member
Joined Aug 16, 2012
79 0 13
mkuu ukiturushia hapa cv yako kwa ufupi tu tungekupa ushauri wa kukufaa maishani. Lakini sishangai kwa mawazo uliyotuandikia hapa mtu naweza akakujua mara moja wewe ni mtu wa aina gani. Upo msemo wa hekima usemao kwamba, "ni mpumbavu tu ambaye hujufunza kwa makosa yake mwenyewe, lakini mwenye hekima yeyote hujifunza kwa makosa ya watu wengine"
tafakari kwa kina ushauri huu, ni mchawi tu anayeshangalia msiba wa mtu lakini jirani mwema hutumia msiba wa mtu kutafakari na yeye msib utakaapomkuta na yeye nyumbani kwake. Maana mtu anayejua kuandika, kiwango cha makosa huwa kidogo sana kuliko msemaji wa moja kwa moja.

Tafakari-!!!!!!!!!!!
hapa umejamba !!1. Kk,,,mnnnnn11! Kkkw
 

Forum statistics

Threads 1,272,642
Members 490,095
Posts 30,455,814