Ushauri kwa Joseph Mbilinyi(SUGU)

Ushauri kwa Joseph Mbilinyi(SUGU)

Status
Not open for further replies.

Great Cbn

Senior Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
165
Reaction score
43
Napenda sana kuangalia BUNGE na nawapenda sana wapunge wanaojenga hoja wakiwa BUNGEN ila Mh;Sugu ananipaga mashaka na kauli zake kuanzia ndani ya BUNGE mpaka nje ya BUNGE mf; alishawahi kuudhuria ktk kikao kimoja mkoan MBEYA na inaonesha alitofautiana kwa hoja na viongoz wa pale SASA alichosema watu tunachaacha kaz zetu tunakuja huku inakua hivi and THAT IS STUPID afu akatoka nje wale viongoz walisikitika sana kwa ile kauli, baadaye niliwah kumuona BUNGEN akiomba taarifa kwa SPIKA ili ampe taarifa mmbunge mwenzake aliekua akizingumzia hali ya bunge la sasa akilinganisha na zaman SUGU akasema HATUJAWai KUWA NA MBUNGE BOYA KA MWIGULU hafu ili la hapa majuz kumwamwimbia wazir mkuu STUPID ningependa kumshaur SUGU atumie lugha zenye staha ktk kujenga hoja zake mbona kina KABWE,MBATIA, na n.k wanaogopwa kwa hoja zao tu lakin sio lugha Za Kuudh Wengine najua formation yake inaweza kumfanya kuzoea lugha za mtahan lakn akumbuke sasa ni MH; hivyo ajue analeta BAD IMAGE kwake mwenyewe na CHAMA PIA ajilekebisheeeee
 
Hata Obama akitumia kiingeraza chake UK huwa anaonekana kama chokoraa na wale waingereza waliozoea kula jasho ya wengine.
 
Usitegemee busara kwa mvuta bhangi.
 
Ndivyo alivyo, ni kama Nchemba huwezi mbadilisha tabia yake ya kuua na kubambikiza kesi wapinzani
 
Mi ningependa kukushauri wewe unapoandika uweke vituo na paragaraph ili watu waweze kusoma...
 
We mtoa mada lugha yenye staha maana yake ni nini? Ni ile aliyoitoa Serukamba?Nkamia? Au ya Lukuvi ya jana?? Unafahamu maana ya upumbavu au unabweka tu hapa? Haya sasa nipe jambo moja tu la busara alilowahi kufanya Pinda? Au kulia bungeni kwako ndo ilikua busara?? Pia nipe ushujaa wa Kikwete ili asiitwe dhaifu! Ukinijibu nitakuunga mkono...otherwise ulichopost ni verbal diarrhoea!
 
Kauli ya PM ya kuwapa mamlaka POLISI wapige raia ni jambo baya zaidi kuliko alichosema SUGU. Sugu kakosea lakini waziri mkuu amakeosea ZAIDI.

-Vizazi hivi na vijavyo hawesemi neno sukari kwenye neno chumvi, kama mtu ni mpumbavu ataitwa mpumbavu na hakuna neno mbadala. Vizazi kale vinamlaani SUGU kwakuwa vimezoea kuzungusha maneno kwenye ukweli!

-Hakika kauli hii ya sugu kwa waziri mkuu itaonekana na thamani kubwa Pinda akiwa hayupo madarakani!

-Endapo Obama, katika hotuba yake kwa tanzania, akisisitiza utawala wa sheria na majukumu ya mahakama ndiyo wenye jukumu la kumwadhibu mtu na siyo polisi....umuhimu wa kauli ya SUGU utaonekana!
 
Napenda sana kuangalia BUNGE na nawapenda sana wapunge wanaojenga hoja wakiwa BUNGEN ila Mh;Sugu ananipaga mashaka na kauli zake kuanzia ndani ya BUNGE mpaka nje ya BUNGE mf; alishawahi kuudhuria ktk kikao kimoja mkoan MBEYA na inaonesha alitofautiana kwa hoja na viongoz wa pale SASA alichosema watu tunachaacha kaz zetu tunakuja huku inakua hivi and THAT IS STUPID afu akatoka nje wale viongoz walisikitika sana kwa ile kauli, baadaye niliwah kumuona BUNGEN akiomba taarifa kwa SPIKA ili ampe taarifa mmbunge mwenzake aliekua akizingumzia hali ya bunge la sasa akilinganisha na zaman SUGU akasema HATUJAWai KUWA NA MBUNGE BOYA KA MWIGULU hafu ili la hapa majuz kumwamwimbia wazir mkuu STUPID ningependa kumshaur SUGU atumie lugha zenye staha ktk kujenga hoja zake mbona kina KABWE,MBATIA, na n.k wanaogopwa kwa hoja zao tu lakin sio lugha Za Kuudh Wengine najua formation yake inaweza kumfanya kuzoea lugha za mtahan lakn akumbuke sasa ni MH; hivyo ajue analeta BAD IMAGE kwake mwenyewe na CHAMA PIA ajilekebisheeeee

JOSEPH MBILINYI (SUGU) anatakiwa akue aache lugha za dsko kwa sasa yeye ni role modal kwa baadhi ya vijana hvyo anatakiwa aache maisha ya kiselasela asiwe na lyf style la kichokoraa awe na busara
 
Hata Obama akitumia kiingeraza chake UK huwa naonekana km chokoraa na wale waingereza waliozoea kula jasho ya wengine.
Kumbe anaonekana CHOKORAA kwa waingereza je, wamarekani wanamuona CHOKORAA?
 
Sio bangi tu pia ni muathirika wa vitendo vya unyasasaji wa kijinsia alipokuwa mtoto. Kwa tunaomfahamu Sugu anahitaji msaada wa ushauri nasaha maana aliingiliwa kinyume na maumbile na baba yake wa kambo alipokuwa mdogo.

Mkuu hizi tuhuma ni nzito sana! Hata kama uliamua tu kumtusi basi mchagulie tusi na sio kumtungia tuhuma!
 
Mi ningependa kukushauri wewe unapoandika uweke vituo na paragaraph ili watu waweze kusoma...
We umejuaje nilichoandika hakina PARAGRAPH? Si inaamana umesoma kwanza
 
Huyu mtu kwanza kuandika hajui!

Huyuhuyu Sugu ndio anawanyang'anya kata zenu katika chaguzi zote!

Waziri Mkuu Mpumbavu ni Mpumbavu tuu, hata asipoitwa hivyo!
 
kumbe anaonekana CHOKORAA kwa waingereza je, wamarekan wanamuona CHOKORAA?

Kwa wamarekani ni "slang" ,ni american English...Ni power ya American ni kuwa huru zaidi ya conservative behaviours za waingereza.Waingereza ujue kwa wamarekani kamili ni wakoloni.Ni anarchy ...si democrasia kamili.

Ila power ya US inatosha waadabisha wote.
 
Kama wewe mwanaume nasema una maneno ya kike
acha kumchafua sugu
sugu namjua in and out
acha pumba zako
unatafuta umaarufu jf kupitia sugu
looooo, mwongo mkubwa hata aibu hauna
loooo lione kwanza
Deketed

Paw
 
Ni ushauri mzuri kwa mtu aliyejiunga JF this Saturday (Join date 22 June 2013)
Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake.
 
We mtoa mada lugha yenye staha maana yake ni nini? Ni ile aliyoitoa Serukamba?Nkamia? Au ya Lukuvi ya jana?? Unafahamu maana ya upumbavu au unabweka tu hapa? Haya sasa nipe jambo moja tu la busara alilowahi kufanya Pinda? Au kulia bungeni kwako ndo ilikua busara?? Pia nipe ushujaa wa Kikwete ili asiitwe dhaifu! Ukinijibu nitakuunga mkono...otherwise ulichopost ni verbal diarrhoea!
Usipende sana kuleta itikad za kiasa kwenye mambo yenye umuhimu kwa mtu Mimi nimemshaur MH; sio kwa ubaya bali ajilekebishe kwan akiendelea ivo anaweza akakumbwa na mamboya ajabu we UNATAKA kushinda na kina SERUKAMBA , mkamia, lukuvi wakat wao ndo wameshika mpin afu nyie ndo mmeshika makal
 
Kwa upande wangu naungana na mtoa hoja ni kweli SUGU sasa ni "Mheshimiwa" kwa mujibu wa kanuni zao Bungeni (japo Nyerere alisisitiza zaidi katika undugu si uheshimiwa), kwa misingi hiyo ni muhimu kama muheshimiwa kuwa na lugha ya staha (si kama ile anayoitumia stejini anapopiga show), Lakini kitu cha msingi lugha hiyo ya staha haitakiwi kuishia kwa Sugu peke yake inatakiwa ifike mbali mpaka kwa akina Job Lusinde, Mwigulu Nchemba, Peter Serukamba, Juma Nkamia na wengineo wengi tu. So naungana na mtoa hoja lakini hakutakiwa kuishia Kwa Sugu peke yake ilitakiwa afike na hao "waheshimiwa" wengine (wote kwa ujumla wao).
 
Sio bangi tu pia ni muathirika wa vitendo vya unyasasaji wa kijinsia alipokuwa mtoto. Kwa tunaomfahamu Sugu anahitaji msaada wa ushauri nasaha maana aliingiliwa kinyume na maumbile na baba yake wa kambo alipokuwa mdogo.

Unatoka magorofani nini? Au siku hizi mikocheni?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom