Kesi ya aliyemteka Dr Ulimboka

Kesi ya aliyemteka Dr Ulimboka

measkron

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
3,782
Reaction score
2,420
Ikiwa leo tayari umetimia mwaka tangu kutekwa, kuteswa na kutelekezwa kwa Dr Ulimboka katika msitu wa mwabepande... Je kesi hiyo imeishia wapi? Kuna taarifa zozote rasmi kesi imekwisha au inaendelea? Iko mahakama gani? Mtuhumiwa feki amepelekwa wapi??
 
WE unamzungumzia Ulimboka leo....mtu mwenyewe keshatulizwa, we ushawahi kumsikia sikia?! Sana sana akisikia watu na media zinakumbushia kumbushia habari zake, huwa anatishia kuwataja wote waliohusika kumteka na kumdhuru....kama kawaida yetu; tukisikia hivyo tu, wabongo tunakaa mkao wa kula kusubiri majina ya wabaya wa Daktari Ulimboka....saa, cku, wiki, miezi inakatika, hakuna cha majina wala wala mavina hadi wanatokea wachokonozi wengine kama wewe!!! Si ajabu siku moja tukaja kusikia kauli kama ambayo ilitolewa na Marehemu Ramadhani Mwishehe Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, "Mwenye mke wake mwenyewe ametulia tulii wala halalamiki, nyie mnang'ang'ana kwamba Ditopile ameiba mke wa mtu; mke huyo wenu?"
 
kesi imekwisha pale tu lilipofungiwa mwanahalisi,hakuna tena kesi hapo.ni jambo la kushukuru mungu kuwa Ulimboka ni mzima wa afya na maisha yanakwenda.
inauma lakini no wayout.
 
Wanasubiri Mwigulu aitengeneze halafu awape maelekezo ya nani wakosaji. Si umeona ya Igunga inavyotumia kodi zetu, huyu jamaa angekuwa director wa movies angetajirika sana.
 
Tanzania sio nchi ya kufuata sheria, ni lawless country kabisa. Sheria inafanyakazi kwa watu wadogo tu. Sasa wewe ushaambiwa aliyemteka na kumtesa ni mtu wa usalama, chombo ambacho kinaripoti ikulu moja kwa moja, ina maana ametekwa na ikulu, sasa ushitaki ikulu kweli? hakuna kesi pale, ni uonevu tu unaendelea Tanzania. Tuamuke tuikomboe Tanzania. Hata hawa wanaotoa sifa kwa CCM bure bila substance yoyote kuna siku wataonja joto ya jiwe kama alivyoonja Dr. Ulimboka
 
Wakipigwa wa upinzani au raia wa kawaida hakuna kesi, kesi ni mpaka iwe na maslahi kwa chama tawala
 
Ikiwa leo tayari umetimia mwaka tangu kutekwa, kuteswa na kutelekezwa kwa Dr Ulimboka katika msitu wa mwabepande... Je kesi hiyo imeishia wapi? Kuna taarifa zozote rasmi kesi imekwisha au inaendelea? Iko mahakama gani? Mtuhumiwa feki amepelekwa wapi??

hiyo kesi mlalamikaji ni nani?
 
kesi imekwisha pale tu lilipofungiwa mwanahalisi,hakuna tena kesi hapo.ni jambo la kushukuru mungu kuwa Ulimboka ni mzima wa afya na maisha yanakwenda.
inauma lakini no wayout.
mkuu naomba namba ya simu ya lwakatare
 
hivi ile ishu ya mamake zitto kutishiwa kusambaratishwa na bastola vipi wakuu? mbona kimya??
 
mkuu naomba namba ya simu ya lwakatare
hahahahahaha
habariyamujini
unanipa kazi nisiyoiweza,umeshindwa kuomba namba ya simu hapo ulipo na kwa watu wanaokuzunguka unaniomba mie? lakini kumbuka simu zake bado zipo polisi.
 
kwa wale wenye mapenzi mema na nchi hii,,kesi ya ulimboka ya kazi gani?binadamu asiye na huruma,aliyegomesha madaktari na kusababisha vifo vya MAMIA?
 
Back
Top Bottom