Fundisho ziara ya obama

Fundisho ziara ya obama

kilombero yetu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
1,004
Reaction score
117
Ziara ya obama hapa nchini pamoja na mambo mengine imewapa wanasiasa wetu fundisho kubwa sana na la msingi.kwamba linapokuja suala linalogusa maslahi mapana ya taifa letu basi tuweke kando maslahi ya vyama,kwamba tanzania ni muhimu kuliko vyama vya siasa.obama na bush japo ni watu wanaotofautiana kimtazamo na kisera,wanakutana kwa pamoja nchini mwetu,hakuna cha udemocrat wala urepublican,wanafurahi pamoja,wanakumbatiana na wanakaa pamoja,,kwamba katika masuala yanayogusa maslahi ya taifa ni lazima tuheshimiane na kushirikiana
hili ni fundisho kubwa kwa wanasiasa wa tanzania hasa wa chadema kwani viongozi wa chadema wamekuwa hawashirikiani na serikali katika sikukuu za kitaifa,inasikitisha kwamba viongozi wa chadema hawahudhurii sikukuu muhimu kama uhuru,muungano n.k...hii ni hatari kwa usalama wetu.ina maana wao hawatambui kwamba tanzania ni taifa huru?chadema kubalini kujikosoa..human being is a mobile personality
 
Chadema wao wanachoangalia ni maandamano tu
 
Ni wanasiasa wachache sana wamepata funzo, wengine ni manyang'au tu
 
vyama vingine ni mitihani sana kwa hapa tanzania hasa chadema.
 
Vyama vingi vimetuletea majanga mauaji, na uhasama zaidi kuliko demokrasia
 
lakini itafika mahala siasa zetu zitakaa sawa kwa sababu yule atakayeendeleza siasa za kihuni watu watamsusa na hawatachagua chama chake
 
mbowe pekee ndiye kapata fundisho ndiyo maana kaweka utaifa mbele kahudhuria dhifa ya ikulu.
 
hili jambo ni la kawaida tu, mfano hata wewe ukiwa na adui yako hapa bongo lakini mara mkakutana nje ya bongo huwa ni kawaida mnakua pamoja. vilevile hata Nape na Mwigulu hawaivi chungu kimoja lakini mara wanapokutana katika vikao na baba mwanaisha akiwepo huwa wanapiga stori kama kawaida na chuki zao huweka pembeni.
 
Hii nayo! Mnapokezana waathirika watupu kuichangia,bidhaa zote ziuzwe sokoni mwananchi ndo watanunua iwafaayo.
 
Back
Top Bottom