frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
WAKUU NDANI HABARI......
Nimekaa nikawaza sana siasa za Arusha kiujumla, ikaniuma na nikapata hoja hii hapa
TANGU Mulongo kuingia Arusha kwa kazi maalumu aliyotumwa na wakubwa zake ya kuua upinzani, ni dhaili sasa ameshindwa kabisa alichotumwa kwa mfano
USHAURI KWAKE
Katika mawio gazeti la jana, kwenye kalamu ya kicheere ninukuu kidogo uk 04
(kama madai ya CCM ya ukabila, ukanda na udini wa CHADEMA ni kweli nani sasa waliobaki watakaowapigia kura; iwapo wachaga wataipigia kura CHADEMA, kanda ya kaskazini wote wataipigie CHADEMA na wakristu nao wapigie CHADEMA! nani watabaki kuipigia kura CCM? jini walilonunua wenyewe CCM limewageuka linawalia watoto)
NAWASILISHA HOJA WAKUU, MKUU WA MKOA WA ARUSHA ATOLEWE MADARAKANI KWA MASILAHI YA TAIFA HILI.

- Hajikiti kabisa na shunguli za kijamii kwa watu wa Arusha (NA YUKO WAZI SANA KUDEAL NA CHADEMA)
- Muda wote utafuta njia ya kupambana na Lema zaidi (jamii inaliona hili)
- Ni mkali sana katika maamuzi mbalimbali mkoani ( watumishi wamemtenga indirect)
- Ana dharau, kiburi na majingambo sanaaaa kwa mtu yeyote (sijui kwanini)
- Mikakati yake michafu mingi imegoma ( kamati/ wapambe wake wanamhujumu mapema)
USHAURI KWAKE
- Ajitaidi kudeal na mambo ya jamii zaidi kuliko siasa
- Mambo machafu juu ya CHADEMA/LEMA ajitaidi kupanga peke yake ( kwani ndani ya kikao chake cha hujuma na uchafu ukaa na watu wenye mapenzi mema na Nchi/CHADEMA/Lema, pia kwani hataweza kabisa kufanikiwa ajiulize kwanini kila akipanga kabla ya utekelezaji tu kinajulikana!!!!!!)
- atambue kuna kufa ata kama una mailizi kibao, kwani anaweza kuwa anasimama katika haki lakini jamii inamuona yeye ni mbaya - /diwani iringa as reference/)
- Angalieni utaratibu wa kumuweka mtu mwingine pale kwani jamaa ameshindwa kutekeleza matakwa yenu na CCM kiujumla.