Natafuta mdhamini kwa uchaguzi 2015.....!

Mizzle87

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
93
Reaction score
6
Habari za majukumu wanajamvi!

Mimi mkazi wa Morogoro. Nimemaliza chuo mwaka huu na nimekuako mstari wa mbele katika kusimamia maslahi ya wenzangu niwapo katika msafara wangu wa elimu mpaka mwisho. Hivyo nimejiona ninaweza kuendeleza kipawa hichi kwa kupenda kuingia katika siasa ya nchi katika wilaya yangu kwa kutangaza nia ya kugombania ubunge.

Dhumuni la ujumbe huu ni kutaka kuomba udhamini/ushauri wa kupata mdhamini au kipi nifanye kuweza kujiwezesha na mchakamchaka wa kugombea ubunge 2015 kwani ndio nimetoka masomoni mwaka huu. Nakutakia majukumu mema ndugu, rafiki, jamaa, au mkereketwa.
 
Wee simamama tuu mimi nitakudhamini, sema unahitaji viroba kiasi gani
 
Unataka kugombea :target:ubunge kupitia chama gani? Kama ni magamba siwezi kukudhamini :
 
Sera zako na hoja ndo zitakutangaza kwanza moro mjini au? Na kwa chama gani?

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Habari za majukumu wanajamvi!

Mimi mkazi wa Morogoro. Nimemaliza chuo mwaka huu na nimekuako mstari wa mbele katika kusimamia maslahi ya wenzangu niwapo katika msafara wangu wa elimu mpaka mwisho. Hivyo nimejiona ninaweza kuendeleza kipawa hichi kwa kupenda kuingia katika siasa ya nchi katika wilaya yangu kwa kutangaza nia ya kugombania ubunge.

Dhumuni la ujumbe huu ni kutaka kuomba udhamini/ushauri wa kupata mdhamini au kipi nifanye kuweza kujiwezesha na mchakamchaka wa kugombea ubunge 2015 kwani ndio nimetoka masomoni mwaka huu. Nakutakia majukumu mema ndugu, rafiki, jamaa, au mkereketwa.

Nenda kwa Abood mbunge wa Moro mjini. Hata hivyo ningekushauri ufanye kazi kwanza, maana siasa si hasa. You might suffer a trauma your life long.
 
Wee simamama tuu mimi nitakudhamini, sema unahitaji viroba kiasi gani

Mmh! bonge la comment mwanangu, mla unga wa UK.... hiv mimacho yako ya kulembua hivyo uli unga, bange au tg.

Nanina wasiwasi na wewe sio mtz na kama nyarwanda vile umekaa kama tetea vile

Hoja kwa hoja
Upuuzi kwa upuuzi
Asb njema amka sasa.
 
Subiri kwanza tuone kama katiba mpya itatumika kwenye uchanguzi 2015. Kama ikitumika basi siasa itakuwa ngumu sana bora uendelee na professional uliyosomea
 
Unagombea ubunge kwa hiyo ID ama?
 
kwani kugombea mpaka uwe na mdhamini au unataka utoe rushwa.
 
Sina maana hiyo mkuu bali ni km namna ya kushirikishana na namna tofauti katika hili ikiwa sina uwezo wa kutosha kwa shughuli nzima.
 
Nenda kwa Abood mbunge wa Moro mjini. Hata hivyo ningekushauri ufanye kazi kwanza, maana siasa si hasa. You might suffer a trauma your life long.

Nashukuru kwa ushauri mkuu! Ila kwa Abood cwez enda kwakua mimi sipo katika CCM.
 
Back
Top Bottom