Ushauri Kwa Serekali ya CCM"

Ushauri Kwa Serekali ya CCM"

Imma Saro

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
394
Reaction score
197
Wandugu naomba mnisaidie kitu kimoja tunasikia meno ya tembo yana bei juu sana, Sasa nauliza haya meno yanayokamatwa yamefikia tani ngapi? hadi leo, Kama kuna soko basi naishauri serekali iyauze hayo meno ili wanunue madawati pamoja na vitabu,。na asilimia 25% ipelekwe kwenye kitengo cha kupambana na ujangili hapa nchini, Kiukweli mimi sioni sababu ya kuyaweka meno ya tembo huku watz hawana madawati,vitabu.mashuleni,Elimu kwanza
ni mtazamo tuu, wandugu
972196_483430365074296_289976262_n.jpg
1009762_483430641740935_1667527171_n.jpg
 
Huwezi kuuza pembe za ndovu kama unavyouza tumbako au pamba. Pembe za ndovu zinathibitiwa na shirika&nbsp;<br>liitwalo CITES (Convention on International Trade for Endangered Species).Shirika hili ndilo linalotoa ruhusa/kibali cha <br>kuuza pembe za ndovu na hata kusema ziuzwe kiasi gani.Serikali yoyote haiwezi kujiamulia kwamba inauza pembe za <br>&nbsp;ndovu bila maelekezo ya CITES. Hapo ndipo penye ugumu.&nbsp;&nbsp;
 
Hebu muulize alhaji kova alikozipeleka pembe alizozikamata !
 
sioni dhamira na utashi wa dhati ktk vita hii. kama nchi lazima wahusika wanajulikana lakini hatuwafanyi kitu wanadunda tu mitaani.
 
Kwahiyo meno ya tembo hayana soko duniani?
Yana soko Imma Saro, lakini soko lake limedhibitiwa mno hasa kwa upande wa muuzaji. Mwuzaji na mnunuzi lazima waombe vibali maalum. Mfano mwaka 1999 Zimbabwe, Namibia na Botswana waliomba ruhusa ya kuiuzia Japan mavuno yao ya pembe za ndovu. Waliruhusiwa na CITES ambayo ilikuwa imeweka marufuku ya biashara ya meno tangu mwaka 1989. Wanunuzi wakubwa (soko la meno ya tembo) ni Japan, China na Hongkong. Mataifa haya yanalisumbua sana shirika la CITES kwa sababu ya tamaa yao ya pembe za ndovu inayohamasisha ujangili maeneo yenye tembo.
 
Last edited by a moderator:
Kwa majangiri huwa wanaruhusiwa kirahisi na CITIES?
Hakuna kitu kama hicho dada jane! Majangili wa pembe za ndovu wanapigwa vita vikali sana na CITES ndo maana pembe wanazovuna kwa njia haramu zinakamatwa pindi zinaposafirishwa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa majangiri huwa wanaruhusiwa kirahisi na CITIES?
Hakuna kitu kama hicho dada jane! Majangili wa pembe za ndovu wanapigwa vita vikali sana na CITES ndo maana pembe wanazovuna kwa njia haramu zinakamatwa pindi zinaposafirishwa.
 
Last edited by a moderator:
sioni dhamira na utashi wa dhati ktk vita hii. kama nchi lazima wahusika wanajulikana lakini hatuwafanyi kitu wanadunda tu mitaani.
Ndugu M2015, unayosema hayajathibitishwa kimahakama! Tuvute subira tuyasikie.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom