VIDEO: Shahidi tindikali ya Igunga, Mwigulu anapotosha umma

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,143
3,196
Mwigulu anatafuta faida ya kisiasa dhidi ya CHADEMA, kupitia tindikali aliyomwagiwa Tesha ilihali kuna ushahidi wa wazi wa ushiriki wa wanaCCM katika tukio la tindikali?

Kama polisi kweli wanatafuta mtu aliyemmwagia tindikali tesha basi wamtafute huyu kijana wampeleke mahakamani akatoe ushahidi.

Kwanini CCM na polisi wao wanahangaika kuzunguka msitu badala ya kuuvamia?

Kama Lwakatare walimkamata kutokana na video ya kwenye mtandao, kwanini huyu hawamkamati ili akatoe ushahidi kuhusu tindikali ya Igunga?

video kwa msaada wa ApexBnews: VIDEO: HUYU ANAWEZA KUISAIDIA CHADEMA KESI IGUNGA INAYO WAKABILI HENRY KILEO NA WENZAKE
 
Last edited by a moderator:
hebu tusimulieni unaotumia viselula!
Story iliyopo ni kwamba vijana wa CCM walipewa kazi ya kung'oa mabango ya CHADEMA popote yatakapokuwa. Na huyu kijana alikuwa ni mmoja wa vijana wa CCM (though hasemi kama alishiriki kwenye hiyo kazi). Tesha alipewa hela ya kuwalipa hao vijana waliofanya kazi ya kung'oa mabango ya CHADEMA, na hela aliyopewa ni laki moja na nusu ambayo alilipwa na CCM. Lakini hakuwalipa wenzake waliofanya hiyo kazi ya kung'oa mabango. Wale vijana wakapandwa na ghadhabu na kuamua kummwagia Tesha tindikali.

Sasa Mwigulu atuambie ni kwa vipi CHADEMA walishiriki katika hili? Na pia tunataka tujua poliCCM wametumie vigezo gani kuwakamata na kuwatesa vijana wa CHADEMA na wasimkate huyu ambaye video yake ipo Youtube?

Kweli Mwigulu yupo tayari kuona watu wasio na hatia wakilala sero na kuteswa kwa makosa ambayo hawajafanya? Kwanini huyu binadamu ni katili kiasi hiki lakini?

cc. Mwigulu Nchemba, Taswira, Ritz, CCM original, Tume ya Katiba etc.
 
Wasije wakamuua
Hiyo ndiyo hofu yangu kubwa. Kuna haja ya CHADEMA kuchukua initiatives za kumlinda huyu kijana na kumtumia vema kwa ajili ya ushahidi ili dunia ijue ni kwa kiasi gani CCM ni makatili.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbowe , dr slaa , zitto tafadhalini mtafuteni huyo kijana atasaidia sana ktk kesi ya tindikali.huyu mwigulu ni muongo na mnagifiki na mwisho wake unakaribia.
 
Mwigulu hawezi kujali wala kuona huruma yeyote kwanza mwenyekiti wake KIkwete kampandisha cheo kwa mipango anayomshirikisha na kutekeleza ya kuhari watu kwa tindikali

MACCM menziwe yamemchagua mwigulu kuingia kwenye vikao vya juu kwa sababu ya kutekeleza mbinu za mauaji

mpaka sasa nakamilisha mipango na wala hajawahi kuzuiwa,kuonywa na kushauriwa zaidi anachofanya kupanga ya kuuwa wapinzani
 
Akili za bavicha hizi. "Polisi wamkamate akatoe ushahidi"

Toka lini na kwa sheria zipi kutoa ushahidi ikawa ni lazima.

Kosa ni kutoa ushahidi wa uwongo na kulazimishwa kutoa ushahidi.

Hata kwenye police state, huwezi kukuta mashahidi wanalazimishwa kutoa ushahidi.

Kwa akili yako unawaasa polisi watende kosa kupata haki.

Bavicha ni janga la Taifa na tuipige vita kama ukoma.
 
Huyu mwigulu atakufa kifo kibaya sana.hata kama ccm wanamlipa pesa nyingi kwaajili ya kuua upinzani hasa chadema, ila akae akijua damu za watu haziendi bure.and he gonna pay for it someday.
 
Mwigulu anatafuta faida ya kisiasa dhidi ya CHADEMA, kupitia tindikali aliyomwagiwa Tesha ilihali kuna ushahidi wa wazi wa ushiriki wa wanaCCM katika tukio la tindikali?

Kama polisi kweli wanatafuta mtu aliyemmwagia tindikali tesha basi wamkamate huyu kijana wampeleke mahakamani akatoe ushahidi.

Kwanini CCM na polisi wao wanahangaika kuzunguka msitu badala ya kuuvamia?

Kama Lwakatare walimkamata kutokana na video ya kwenye mtandao, kwanini huyu hawamkamati ili akatoe ushahidi kuhusu tindikali ya Igunga?

video kwa msaada wa ApexBnews: VIDEO: HUYU ANAWEZA KUISAIDIA CHADEMA KESI IGUNGA INAYO WAKABILI HENRY KILEO NA WENZAKE

du ndo nchi ilipofikia!
 
Last edited by a moderator:
Akili za bavicha hizi. "Polisi wamkamate akatoe ushahidi"

Toka lini na kwa sheria zipi kutoa ushahidi ikawa ni lazima. Kosa ni kutoa ushahidi wa uwongo na kulazimishwa kutoa ushahidi.

Hata kwenye police state, huwezi kukuta mashahidi wanalazimishwa kutoa ushahidi.

Bavicha ni janga la Taifa na tuipige vita kama ukoma.

Hiyo imekula kwenu.kesi zenu za kupika zooote zinaishia njiani....hivi hamuoni aibu mnavyotesa na kudhalilisha watu.?
 
mafuta na maji hata ukiyachanganya huwa yanajitenga, ndio hiyo sasa uongo na unyama wa mwigulu umejitenga ukweli wa jambo.
 
Hiyo imekula kwenu.kesi zenu za kupika zooote zinaishia njiani....hivi hamuoni aibu mnavyotesa na kudhalilisha watu.?
If that is the case. Kwa nini mko hapa kushadadia na kutoa ushauri nini polisi wakifanye katika majukumu yao kuhusiana na kesi ya tukio la kuhuzunisha na kusikitisha.

Huelewi hapa unachokiongea ni nini na unachofikiria ni kipi.
 
Sikilizeni zaidi kumhusu Mwigulu kutoka kwa huyu shahidi
1. Kuhusu mafunzo ya Green guards
2. Kuhusu mipango ya kuchakachua
3. Kuhusu uhusika wa TISS katika michezo hii
4. Kuhusu uhusika wa Mwigulu katika mambo haya
 
Last edited by a moderator:
Nadhani Mh Lissu atakuwa miongoni mwa wanasheria wa CDM watakao watetea Wh Kileo na wenzake. Mh Mwigulu kwa upande mwingine atakuwa shahidi muhimu upande wa watuhumiwa (safari hii Lissu atahakikisha anaitwa mahakamani) ili aieleze mahakama sababu zilizotumika kumwachia yeye kama mtuhumiwa wa kwanza. Kumuweka Mwigulu upande wa watuhumiwa atakuwa hana ujanja kushindwa kutokea mahakamani. Kesi hii ni nzuri sana, maneno yote na picha zote Mwigulu alizosema na kumwonyesha victim jukwaani zitatumika kumtia hatiani. Sheria ni sayansi, Mwigulu hana ujanja katika kesi hii na ile ya Lwekatare
 
If that is the case. Kwa nini mko hapa kushadadia na kutoa ushauri nini polisi wakifanye katika majukumu yao kuhusiana na kesi ya tukio la kuhuzunisha na kusikitisha.

Huelewi hapa unachokiongea ni nini na unachofikiria ni kipi.
Mawakili wa utetezi lazima watamuweka Mwigulu katika orodha ya mashahidi ili mahakama itoe kibali maalum cha kuitwa mahakamani. Najua Mawakili Kibatara, Lissu na Safari watamkaanga Mwigulu, kutokana na ubabe wake ataropoka na kujikuta anaingia matatani. Sheria ni sayansi, yetu macho
 
Sikilizeni zaidi kumhusu Mwigulu kutoka kwa huyu shahidi
1. Kuhusu mafunzo ya Green guards
2. Kuhusu mipango ya kuchakachua
3. Kuhusu uhusika wa TISS katika michezo hii
4. Kuhusu uhusika wa Mwigulu katika mambo haya
 
Last edited by a moderator:
:target: hapa mwigulu nchemba lazima mavi yamtoke :laser: mwigulu
 
If that is the case. Kwa nini mko hapa kushadadia na kutoa ushauri nini polisi wakifanye katika majukumu yao kuhusiana na kesi ya tukio la kuhuzunisha na kusikitisha.

Huelewi hapa unachokiongea ni nini na unachofikiria ni kipi.
Kesi ipo mahakamani tayari.

Kilewo na wenzake ndio washtakiwa.

Hii video inaonesha ushahidi unaoweza kuwatetea akina Kilewo, na kufumua madudu mengine ya CCM.

Hebu angalia na hapa

Huu ni ushahidi wa ex-green guard.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom