Wana JF,mimi ningeomba tu mwenye ufafanuzi wa hizi tungo tata anisaidie niweze kuelewa kwani kila jambo naona limegeuzwa kuwa siasa,
Wakati mzee wa Kaya alipokuwa anazindua barabara nyingi hapa...
Mtafaruku mkubwa umeibuka na kusababisha kikao cha UWT kuvunjika, habari za uhakika toka ndani ya jumuiya hiyo zinaeleza kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Sofia Simba, ndiyo chanzo cha kuvunjika...
Kumetokea kundi la watu ambao ni wapinzani wa Dr.Magufuli kwa kumsingizia ama kutangaza kuwa atagombea uraisimfano gazeti moja majuzi limeandika habari za uongo "Magufuli: Nautamani Uraisi" na...
MKUU wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Paul Chagonja, ni mweledi wa kuzungumza hasa pale ambapo watendaji wake (polisi), wanapokuwa wanatuhumiwa kwa makosa ya wazi...
Ndugu wana JF
Juzi nimeuliza uelewa na ukweli wa Serikali kwa watu wake .Kila mara nikaapo napata maswali zaidi na hasa nikiwa nina flash back yaliyo tokea wakati wa ujio wa Obama .
Waandishi...
Kwa wanajf ninaomba kujuzwa hatima ya chama cha CCM na CUF endapo itatokea muungano ukavunjika.Kama wengi wao tunavyo faham Tanzania ni muungano wa nchi 2 kati ya nchi iliyo kuwepo hapo zamani ya...
Ndugu yangu, Dunia ya sasa nchi hazipigani sana vita ya bunduki ili kujiletea sifa na umaarufu wa kibabe ila zinapigana vita ya kiuchumi kwa kutumia ushawishi wa kisiasa na fursa za ushirikiano...
wana JF,
Mnakumbuka ushauri wa Kessy mbunge wa Nkasi kwa serikali ya jmt kutoza kodi katika harambee 30% hivyo mil 590 zilizokusanywa usiku wa ijumaa na Bw Lowasa, Tsh 117 mil serikali ingepata...
By Bernard Mapalala,The Citizen Correspondent
Posted Sunday, July 7 2013 at 02:42
TANZANIA CITIZEN
In an exclusive interview with The Citizen on Sunday, Mr Lamy said many developing...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELO ( CHADEMA) NI mmoja ya vyama vya upinzani nchini ambacho kimeonyesha japo kwa kiasi kuitikisha ccm na kuonekana kukubalika na vijana wengi wa kijiweni na wale...
WanaJF!!
Gazeti la leo la TANZANIA DAIMA limesema waziri pekee wa JK aliyehudhuria dhifa ya Obama ni Membe, wengine waliishia nje ukumbi wa hiyo dhifa. Pia linasema kuwa mawaziri hao...
SUNDAY, JULY 7, 2013DR.MARY MWANJELWA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MBEYA AMBAYE PIA NI M-NEC TAIFA ATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MSIKITI MAJENGO JIJINI MBEYA
DR.MARY MWANJELWA...
Wakuu.
Kesho ni siku ya kesi ya madai ya ugaidi iliyofunguliwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tabora, dhidi ya Katibu wa CHADEMA Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Henry Kilewo na wenzake 4, ambao...
Kutokana na rasimu ya katiba kuruhusu waliokuwa marais kugombea tena urais, nafikiri haya ni maandalizi ya ukweli ya Mzee wetu Mkapa kuishika hii nchi tena.
Watumishi wa Umma wameonekana...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe, Mavazi ya Mama Salma ni sanaa halisi ya Muafrika. Mama Salma amejitokeza mstari wa mbele kumtetea Mama na mtoto wa Kitanganyika hasa wale wenye kuhitaji...
Mwaka 2010 vyombo vya habari vinavyomilikiwa na MENGI vilisaidia san kwa CDM kufahamika na kukubalika sehemu nyingi hapa nchini. Hii ilitokea hivyo kwa sababu ndg Mengi alikuwa na ugomvi na baadhi...
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya kibanda maiti Zanzibar na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.