Breki sina
Member
- Jun 3, 2013
- 96
- 32
Kamati ya bunge ya mali asili na mazingira chini ya mwenyekiti wake mbunge wa shinyanga mjini Mh. Lembeli imebaini kuwa serikali imechukua zaidi ya 600m ambazo hazikuizinishwa na bunge na hazionekani zilivyotumika akizungumza anadai hata oparetion ya serikali iliyofanya walitumia zaidi ya 1b akidai pesa zimetumika kwa ufisadi, hali hii inatisha nini kinaisumbua serikali hii inayojiita sikivu kuhusu rushwa ni kweli kuwa vyombo vinavyohusika vimeshindwa kudhibiti hayo jamani serikali hii inalipeleka wapi Taifa,leo nikitazama kituo cha Itv huko Babati madakitari bigwa wamegoma kisa hawajalipwa malimbikizo yao ya muda kama vile call allowance huku watu wengine wakijichotea pesa kama vile ni shamba la bibi tunaipeleka wapi nchi hii jamani.