Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uongozi wa jk ni by position na sio by function.Sifa mojawapo ya uongozi by position kabla hajawa kiongozi huwa hajulikani,hujulikana tu akipewa position na baada uongozi kuisha mtu huyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, Nimetumiwa waraka huu kwa njia ya SMS ili niusambaze kwa watu 10. Baada ya kuusoma na kuuelewa nimegundua kwamba SMS – kutokana na fursa nilizonazo – haitakuwa na ufanisi wala tija...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale Rayol Village mjini Dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa Bwana Nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym...
6 Reactions
88 Replies
9K Views
Bado sipati picha kwa nini wana CCM walazimisha wa z'bar muungano kwa nguvu,hoja ya kusema serikali tatu itavunja muungano ni ni hofu na mashaka ya CCM, ndio maana mafisadi wa ccm juzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WanaJF: Lini Mkuu wa mkoa, ambaye ni kada mkuu wa CCm akawa msemaji mkuu katika masuala ya upelelezi unaofanywa na polisi? huu si uingiliaji wa CCm katika masuala ya kipolisi? Soma habari hii...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Other things Remain Constant, Vijana na watoto wetu ndio tunategemewa kuitumia zaidi katiba mpya. Mabaraza yanaanza, kama wadau nawaomba TUISOME RASIMU, TUTAFAKARI, TUJADILI, TUTOE MAONI KWA...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Waziri wa mambo ya nje Bernard Membe Jumapili ijayo tarehe 14/7/2013 anatarajiwa kuogoza harambee na uzinduzi wa kwaya ya Kanisa Katoliki jimboni Ukonga. Waziri Membe atazindua kwaya ya...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Nilitegemea rais Kikwete angeweza kujifunza mengi baada ya ujio wa Rais Obama. Rais Obama anavutia kwa sababu yuko kwa ajili ya wamarekani. Anapoilizwa hujibu kwa staha bila mzaha, na akizingatia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shida humfanya mtu kuwa mbunifu...... Kwa sasa tumeamua kuwa Tabata Dampo kwa nchi za ulaya. Kwa nyezo hii mashati na suruali yalinyooka vizuri kweli.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamvi kuna jambo moja linanitatiza nashindwa kuelewa kabisa kwa nini nalo ni umasikini afrika. Kwa nini waafrika hatuna mitaji mikubwa kama wenzetu wazungu? nini kilifanyika mpaka wazungu...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Akiongea na waandishi wa habari Wakati wa dhifa Akiongea na wafanyabiashara Ubungo
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Salamu wanajamvi. Membe,sitta na Lowasa wamekuwa wakitumia misikiti na makanisa kutoa harambee ili uchaguzi wa 2015 waje kuungwa mkono maana kila mmoja anania ya kugombea nafasi ya juu kabisa ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani wanajamii forum naomba kujua utaratibu gani unatumika kumuondoa diwani kama hafanyi kazi zake ipasavyo?wanakijiji hawamtaki ila hawajui waanze wapi na nani aanze kumfunga paka kengele
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani hivi hakuna minimum standards za website za wizara zetu? Nimetazama website hii nikadhani naangalia website ya ki-jikampuni kinachokaribia kufilisika, au serikali yetu haina uwezo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hili ndilo desa la Prof Issa Shivji alipotoa muhadhara ndani ya ukumbi wa Nkrumah Chuo kikuu cha DSM. binafsi nimesoma kwa makini na nimeona kuna mengi wanaJF watafaidika nao hususan katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa kwa muda mrefu nikifuatilia hoja mbalimbali kuhusu watetezi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Na hivi karibuni mjadala huu umepamba moto kufuatia rasimu ya Katiba ya ''Warioba"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mungu mwenyezi, mwenye mamlaka yote, Baba uliyetuumba kwa mfano wako ili tukuabudu katika Roho na kweli: ninakushukuru kwa kuwa bado umetupenda watanzania ambao bado tuko hai. Najua kila binadamu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu ndani ya JF, Mara baada ya kumshukuru Allah na kumtakia rehema mtume wake Mohamed S.A.W na chkua fursa hii kuwatakia siku njema yenye changamoto nyingi za kimaisha na mustakabali wa hali ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Igunga kuna kesi.Ni kesi ya ugaidi dhidi ya Makamanda mbalimbali wa CHADEMA wakiongozwa na Kileo wa Dar. Makamanda hawa wanatuhumiwa kumteka na kumwagia tindikali Tesha-wa-Igunga. Uhalifu...
18 Reactions
38 Replies
6K Views
Jana nilibahatika kusiliza hotuba fupi ya rais wetu wakati akiwa pale katika uwanja wa Taifa alipofungua tamasha la matumaini. Kitu alichoongea ni kuwa wote wanaoutafuta urais wasipitie kwenye...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…