Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 309
Jamani hivi hakuna minimum standards za website za wizara zetu?
Nimetazama website hii nikadhani naangalia website ya ki-jikampuni kinachokaribia kufilisika, au serikali yetu haina uwezo wa kutengeneza website nzuri?? Au ni masharti ya wawekezaji, aka wadhamini wa serikali?
http://www.mof.go.tz/