Jk's leadership is by position but not by function.

Jk's leadership is by position but not by function.

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
2,602
Reaction score
409
Uongozi wa jk ni by position na sio by function.Sifa mojawapo ya uongozi by position kabla hajawa kiongozi huwa hajulikani,hujulikana tu akipewa position na baada uongozi kuisha mtu huyo husahaulika kabisa.Mfano Nyerere was the leader by function ndio maana anakumbukwa hadi sasa,Nelson mandela nk,lakini Dr.salmin Amour,Dr salim,Hassan Mwinyi hawa walikuwa viongozi by position sio by function ndio maana wapo kama hawapo.
Kwa upande wa Jk naye atakuwa/ni kiongozi by position not by function..kwa kuwa katika viongozi watakaosahaulika katika historia ya Tz ni pamoja na Jk,japo atakumbukwa kwa issue ya katiba mpya jambo amabalo alikopa kutoka CHADEMA.
Sasa hivi nchi ipo kama haina rais,wenye kutoa matamko wamekuwa akina Nchemba,Lukuvi,Nape,Wassira ambao kimsingi wanatoa kauli tata za kejeli, dharau,kichochezi zinazoligawa taifa,rais yupo anaangalia tu,sasa kama sio kiongozi by position ni nini!
Hata waliokuwa wanasema kuwa JK ni chaguo la Mungu nulikuwa nawashangaa,Mungu hawezi kukupa majukumu ambayo huwezi kuyakabili.Mfano Jk naweza kusema kuwa inawezekana majukumu mengine anaweza mfano ya kifamilia lakini ameshindwa kubalance majukumu ya familia na nchi.
Mfano wa pili,Magufuli jimboni kwake yamemshinda lakini kitaifa anapeta.
Labda niseme hivi,sio kila kiongozi anapofanya vizuri kwenye position fulani anatakiwa kupewa position ya juu zaidi wengine ndio huwa mwisho wao recall peter's principle in management.
Kumpandisha cheo mtu tunaangalia vision,influence na team work relationship.Mtu kama magufuli sio wa kumpa usimamizi najua ataharibu kwani ameshazoea kufanya kazi na sio kusimamia,unaweza ukampa kazi ya usimamizi lakini akashindwa kuimudu atajikuta anafanya kazi ofisi moja na walio chini yake.Pia,ukikuta kiongozi ni anatabia za usimamizi,mfanye mara zote kuwa msimamizi kwani akiwa team work member atagombana na kila mtu kwani hajazoea kufanya kazi na team work.
Believe or no Jk is the leader by position.
 
Back
Top Bottom