WanaJF:
Lini Mkuu wa mkoa, ambaye ni kada mkuu wa CCm akawa msemaji mkuu katika masuala ya upelelezi unaofanywa na polisi? huu si uingiliaji wa CCm katika masuala ya kipolisi? Soma habari hii...
Other things Remain Constant,
Vijana na watoto wetu ndio tunategemewa kuitumia zaidi katiba mpya. Mabaraza yanaanza, kama wadau nawaomba TUISOME RASIMU, TUTAFAKARI, TUJADILI, TUTOE MAONI KWA...
Waziri wa mambo ya nje Bernard Membe Jumapili ijayo tarehe 14/7/2013 anatarajiwa kuogoza harambee na uzinduzi wa kwaya ya Kanisa Katoliki jimboni Ukonga.
Waziri Membe atazindua kwaya ya...
Nilitegemea rais Kikwete angeweza kujifunza mengi baada ya ujio wa Rais Obama.
Rais Obama anavutia kwa sababu yuko kwa ajili ya wamarekani. Anapoilizwa hujibu kwa staha bila mzaha, na akizingatia...
Wana jamvi kuna jambo moja linanitatiza nashindwa kuelewa kabisa kwa nini nalo ni umasikini afrika.
Kwa nini waafrika hatuna mitaji mikubwa kama wenzetu wazungu? nini kilifanyika mpaka wazungu...
Salamu wanajamvi.
Membe,sitta na Lowasa wamekuwa wakitumia misikiti na makanisa kutoa harambee ili uchaguzi wa 2015 waje kuungwa mkono maana kila mmoja anania ya kugombea nafasi ya juu kabisa ya...
Jamani wanajamii forum naomba kujua utaratibu gani unatumika kumuondoa diwani kama hafanyi kazi zake ipasavyo?wanakijiji hawamtaki ila hawajui waanze wapi na nani aanze kumfunga paka kengele
Jamani hivi hakuna minimum standards za website za wizara zetu?
Nimetazama website hii nikadhani naangalia website ya ki-jikampuni kinachokaribia kufilisika, au serikali yetu haina uwezo wa...
hili ndilo desa la Prof Issa Shivji alipotoa muhadhara ndani ya ukumbi wa Nkrumah Chuo kikuu cha DSM.
binafsi nimesoma kwa makini na nimeona kuna mengi wanaJF watafaidika nao hususan katika...
Nimekuwa kwa muda mrefu nikifuatilia hoja mbalimbali kuhusu watetezi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Na hivi karibuni mjadala huu umepamba moto kufuatia rasimu ya Katiba ya ''Warioba"...
Mungu mwenyezi, mwenye mamlaka yote, Baba uliyetuumba kwa mfano wako ili tukuabudu katika Roho na kweli: ninakushukuru kwa kuwa bado umetupenda watanzania ambao bado tuko hai. Najua kila binadamu...
Wakuu ndani ya JF,
Mara baada ya kumshukuru Allah na kumtakia rehema mtume wake Mohamed S.A.W na chkua fursa hii kuwatakia siku njema yenye changamoto nyingi za kimaisha na mustakabali wa hali ya...
Igunga kuna kesi.Ni kesi ya ugaidi dhidi ya Makamanda mbalimbali wa CHADEMA wakiongozwa na Kileo wa Dar. Makamanda hawa wanatuhumiwa kumteka na kumwagia tindikali Tesha-wa-Igunga. Uhalifu...
Jana nilibahatika kusiliza hotuba fupi ya rais wetu wakati akiwa pale katika uwanja wa Taifa alipofungua tamasha la matumaini. Kitu alichoongea ni kuwa wote wanaoutafuta urais wasipitie kwenye...
Sio sahihi kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuja kabla ya uwepo kwa ukamilifu – kwa Katiba za mataifa mawili yanayounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – yani Jamhuri ya...
Just a brief to all wellwishers of this nation: the most important thing now is to change ruling party to an opposition party if we real mean democracy. There is a meaning in true democracy like...
Tanzania has launched an investigation to trace millions of dollars lost through smuggling of minerals out of the country.
The move is the latest in a string of attempts by the government to track...
"ZIARA ya Rais wa Marekani, Barrack Obama, imeacha nongwa kwa mawaziri wa Rais Jakaya Kikwete, Tanzania Daima Jumapili limebaini.
Nongwa hiyo imetokana na mawaziri wachache walioteuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.