Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanamtandao Ninawashukuru wote ambao kwa mda mmeelekeza masuala na matukio mbalimbali kwangu. Niombe radhi kuchelewa kujibu kwa sababu ya shughuli zilizokuwa zinatukabili. Sasa nimepata nafasi...
18 Reactions
113 Replies
10K Views
Wakuu JF. Namuona Waziri wa Mambo ya nje wa India akiahid India kuendekea kutusaidia Tanzania katika Nyanja anuai. Pia Benard Membe ameuomba Waziri huyo kuishawishi Serikali ya India kurejesha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Uchaguzi mkuu 1995 ndio ulikuwa uchaguzi wa kwanza wenye ushindani mkubwa ndani ya CCM ktk kumpata mgombea wa chama hicho kikongwe na kilichozeeka ktk kupeperusha bendera ya Ccm. Miaka yote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HIVI SASA, Ni matangazo ya moja kwa moja (live) kutoka ukumbi wa mikutano wa karimjee yakirushwa na TBC1. mgeni rasmi ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania JAKAYA MRISHO KIKWETE... KATIBA...
36 Reactions
1K Replies
101K Views
Nimekuwa nikifuatilia matukio ya hivi karibuni toka kwa baadhi ya wana CCM kupitia kwenye jumuia za ki imani (kidini) na baadhi ya makundi ya kiuzalishaji mali kama vile machinga na ama kufanya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KATIBU Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Deogratias Munishi, amesema kuwa serikali ya CCM imekosa maarifa ya kutambua kuwa elimu bora inayokidhi mahitaji ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
BAADA ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba (CRC) kutangaza rasimu ya mapendekezo yake Juni 3, mwaka huu wadau mbali mbali wanaendelea kuipongeza na kuikosoa Tume hiyo na Brigedia Ramadhan Haji Faki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I hope Mods hawataunganisha na Nyingine maana hapa ninataka kuonyesha hakuna Mantiki ya kuendelea na Muungano, hasa baada ya Ujio wa rasimu yetu. 61.- Kwa mujibu wa Katiba hii, Washirika wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi! Kauli ya Lowasa ya kusema kuwa pesa anazotoa kwa ajili ya harambee anapewa na rafiki zake,inanipa mashaka makubwa.Hayo marafiki zake hawana majina? Si awataje? Kama mafisadi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika katuni iliochorwa na wachoraji maarufu wa katuni za Kisiasa Afrika mashariki GADO CARTOONS imemuonesha JK kama mtu anaetegemea misaada kwenye kila jambo. Katuni iyo inayolenga kuonesha ni...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa wale mnao fahamu utawala wa Hitler wa chama cha NAZI 1933-1945 ulikuwa na sifa mbalimbali ila zilizo kubwa ni uaji wa wapinzani wa serikali chini ya Hitler, kuawambikia watu kesi za kila namna...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbinu za ccm za kuharibu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpyaa zimeanza kujidhihirishaa wazi.uku wilaya ya moshi vijijini wamewaita wajumbe wote wa mabaraza ya katiba etii ambao ni wanachama wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Friends nimekuwa nikifuatilia kasi ya Mwakyembe na swahiba wake Lowassa kwa kipindi kirefu naona kama wanapokezana!Huyu akianza yule anatulia,akimaliza mwingine anaanza.Sasa hivi kila kona ni...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya kushindikana hapo jana kwa maandamano ya Wazee wa Ukoo wa Kimasai (LAIGWANAK) yaliyokuwa yameratibiwa na Wafuasi wa Lowassa,kwa lengo la kumpinga Mbunge wa Arusha mjini kupitia Cdm mh...
9 Reactions
86 Replies
7K Views
wwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanajf, barabara ya Kilwa ni barabara maarufu sana kwa sisi ambao tunakaa Dar es salaam kusini (South Dsm). Kwa muda wa miaka kadhaa,barabara hii ilikua ktk ujenzi.Ujenzi baadae ukaonekana upo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uongozi wa jk ni by position na sio by function.Sifa mojawapo ya uongozi by position kabla hajawa kiongozi huwa hajulikani,hujulikana tu akipewa position na baada uongozi kuisha mtu huyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, Nimetumiwa waraka huu kwa njia ya SMS ili niusambaze kwa watu 10. Baada ya kuusoma na kuuelewa nimegundua kwamba SMS – kutokana na fursa nilizonazo – haitakuwa na ufanisi wala tija...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale Rayol Village mjini Dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa Bwana Nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym...
6 Reactions
88 Replies
9K Views
Bado sipati picha kwa nini wana CCM walazimisha wa z'bar muungano kwa nguvu,hoja ya kusema serikali tatu itavunja muungano ni ni hofu na mashaka ya CCM, ndio maana mafisadi wa ccm juzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom