mtambo mlay
Member
- May 27, 2013
- 6
- 0
Jamani wanajamii forum naomba kujua utaratibu gani unatumika kumuondoa diwani kama hafanyi kazi zake ipasavyo?wanakijiji hawamtaki ila hawajui waanze wapi na nani aanze kumfunga paka kengele
Sina uhakika kama katiba inasema chochote kuhusu kusimamishwa kwa diwani aliyechaguliwa. Labda katiba mpya ndiyo imeongelea hilo. Ya zamani ipo kimya.Jamani wanajamii forum naomba kujua utaratibu gani unatumika kumuondoa diwani kama hafanyi kazi zake ipasavyo?wanakijiji hawamtaki ila hawajui waanze wapi na nani aanze kumfunga paka kengele
weka kwenye siasa,huku ni jukwaa la wasaka kazi
Jamani wanajamii forum naomba kujua utaratibu gani unatumika kumuondoa diwani kama hafanyi kazi zake ipasavyo?wanakijiji hawamtaki ila hawajui waanze wapi na nani aanze kumfunga paka kengele