Cartoon: Marais EA na funzo toka Egypt

Cartoon: Marais EA na funzo toka Egypt

masalia

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
24
Reaction score
26
Katika katuni iliochorwa na wachoraji maarufu wa katuni za Kisiasa Afrika mashariki GADO CARTOONS imemuonesha JK kama mtu anaetegemea misaada kwenye kila jambo.

Katuni iyo inayolenga kuonesha ni somo gani viongozi wa Afrika Mashariki wamejifunza kutokana yaliyojiri Misri (Egypt), jionee mwenyewe.

attachment.php




:target:
 

Attachments

  • EA-July-08-13-Lessons-from-Egypt-1024x747.jpg
    EA-July-08-13-Lessons-from-Egypt-1024x747.jpg
    134.7 KB · Views: 1,150
M7 ye anaona kama hako ka tutorial assistant kanamzingua tu...
 
Umesahau alivochekesha dunia nzima siku ile ya press conference na Obama aliposema 'nikisema misaada ya marekani inatosha maana yake sitaomba (-omba) tena"? kikwete ni majanga mbona majanga.
 
Gado ni noma.Huyu jamaa ni Mtanzania anayeishi kenya,anazijua vema siasa za hapa
 
Gado atakuwa amekosea au aliyekalia siti "JK" siyo JK halisi. Angekuwa yeye angejibu "I need more trips to EU and US for shopping poverty solutions"
Monday, November 5, 2012

magufuli.jpg



"Wapo wanaosema wewe Rais unatembea sana nje ya nchi, lakini bila kutembea kwako tusingepata maendeleo tunayopata, hivyo tunakuomba uendelee kutembea ili tuendelee kupata maendeleo zaidi," alisema Dk Magufuli.
Chanzo:
Gazeti la Mwananchi
 
M7 Nafikiri anakumbuka ile single yake--DO YOU NEED ANOTHER RAP?
 
Katika katuni iliochorwa na wachoraji maarufu wa katuni za Kisiasa Afrika mashariki GADO CARTOONS imemuonesha JK kama mtu anaetegemea misaada kwenye kila jambo.

Katuni iyo inayolenga kuonesha ni somo gani viongozi wa Afrika Mashariki wamejifunza kutokana yaliyojiri Misri (Egypt), jionee mwenyewe.

attachment.php




:target:

Sidhani kama kuna FUNZO kwa EA Leaders... Sababu MORSI was a legit elected leader supported to even Western Countries pamoja na yeye kuwa na haraka haraka ya kubadilisha KATIBA ya nchi kuwa ya KIISLAMU na kutojali MAKABILA na DINI NYINGINE ndani ya EGYPT.

Alionywa na mataifa hasa USA lakini hawakuweza kumuingilia kwasababu ndie kiongozi wa kwanza HURU kuchaguliwa wa EGYPT.

Lakini pia kwasababu ya JESHI kuwa Madarakani kwa MUDA MREFU lina UCHUMI wake 4% ya GDP ya EGYPT inatoka jeshini yaani JESHI LINA PETROL STATION; MALLS; VIWANDA; APPARTMENTS yaani ni NCHI ndani ya NCHI hauwezi kulilinganisha na JESHI la NCHI yoyote DUNIANI

Kwahiyo sidhani kuna lolote kwa EA kufuatilia kujifunza au kuogopa yaliyotokea EGYPT --- ISIPOKUWA ni UUAJI wa DEMOKRASIA ya kweli hata kama hawakuwapenda MUSLIM BROTHERHOOD wasishinde; Makosa yalikuwa yao hao hao Wananchi... kuzitengua kura kwa viongozi wanaowapenda wao hivyo basi Vyama Vikawa VINGI na kura kugawana MUSLIM BROTHERHOOD akawa KIDEDEA....
 
Tehe..tehe...tehe.....naona Pierre ataamka pale ndoto zake zitakapotimia.......
 
mimi naunga mkono kabisa jeshi la misri, huu uzalendo wa kipekee, kwamba sio wapumbavu mchaguliwe halafu muwatumikie wachache kama analivyofanya morsi kuwatumikia moslem brotherhood, kwa aibu wamisri wakamshutkia,
shame upon morsi and his colleague
 
Democracy is NOt a mere election, but on how you treat opposion, dissidents and minority (Barack Obama 2013)
 
Tatizo sio Morsi kutoka chama cha kiislam bali ni jinsi gani aliweza kuongoza kwa kuwaunganisha au kuwagawa wamisri. Vitendo vyake vya kuwagawa ndivyo vilivyosababisha atolewe.
 
huyu GADO ni mtu mwenye akili nyingi sana!
Kuna cartoon moja alichora jinsi Raila isivyofit katika ikulu miaka miwili kabla ya uchaguzi, ukiiona kilichotokea ndipo unajua kuwa huyu jamaa ni zaidi ya genius. Napenda kila akimpotray M7 au jk, always is perfect!
 
Kuna cha kujifunza, kwangu mimi ni kuwa demokrasia haiishii kwenye kupiga kura tu, inabidi kureform na taasidi zinazoambatana na uhuru huu wa watu. Misri kilichotokea ni kuwa jeshi lilibaki lile lile na mtazamo uleule. Hata wafanyeje, bado jeshi hilo litaendelea kuwa na msimamo wa kuendelea kuingilia matakwa ya wananchi waliyoyatoa kwa njia ya kura.
 
Democracy is NOt a mere election, but on how you treat opposion, dissidents and minority (Barack Obama 2013)

You are very right... Ndio Maana US Ambassador akalazimisha MBOWE na Msururu wa Viongozi wake wahudhurie IKULU STATE DINNER as per OBAMA; at the other SIDE OBAMA na BUSH wakajaribu kumuonyesha KIKWETE UTAIFA UKOJE kwa kwenda pamoja kuweka MAUA kwenye kumbukumbu la BOMU Sept 11...

It does carry lots of VOLUME... lakini Waandishi wetu hawawezi kuwa na IDEA ya kuona MBALI na kuchakachua ya DUNIA
 
Back
Top Bottom