Speed ya Mwakyembe imepotelea wapi?

Speed ya Mwakyembe imepotelea wapi?

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
579
Reaction score
887
Friends nimekuwa nikifuatilia kasi ya Mwakyembe na swahiba wake Lowassa kwa kipindi kirefu naona kama wanapokezana!Huyu akianza yule anatulia,akimaliza mwingine anaanza.Sasa hivi kila kona ni Lowassa Mwakyembe vp anajipanga au?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
chezea chama dume wewe!!!!! kazimwa kama mpira
 
amesha gota...kahangaika wale aliowatimuwa utasikiwa wameteuliwa na mkuu wamepewa kazi nyingine..hata train ya dar ni muda tu hutaisikia tena....kama t scan ya dar ilienda tupwa tanga watu wapitishe mzigo
 
Mimi nadhani huenda sasa ndio kazi inapigwa!
 
Labda ule ugonjwa wa kunyonyoka nywele na kuoza kucha umemrudia,,,
 
Kwani File lake Apolo lilishafungwa!!?? Labda kaenda India kwa ajili ya follow up!!
 
Magufuli naye amesema anautamani. Listi inazidi kuongezeka sasa. Sijui kocha atamchagua nani atamwacha nani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom