BAVICHA wainanga serikali ya CCM

BAVICHA wainanga serikali ya CCM

THE COMMISSIONER

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
267
Reaction score
111
[TABLE="width: 1013"]
[TR]
[TD][TABLE="width: 599"]
[TR="bgcolor: #ffffff"]
[TD]KATIBU Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Deogratias Munishi, amesema kuwa serikali ya CCM imekosa maarifa ya kutambua kuwa elimu bora inayokidhi mahitaji ya taifa ndiyo njia ya kutatua tatizo la ajira nchini.

Munishi alisema fursa za ajira zimejaa duniani kote, wanaozifaidi ni wale wenye maarifa na ujuzi ambao msingi wake mkuu unatokana na elimu bora wanayoipata.

Alisema anashangaa kuona serikali ya CCM imefilisika kifikra na maono ya kulinasua taifa kutoka kwenye janga hili, kwa kushindwa kuifanya sekta ya elimu kutokuwa kipaumbele kwenye bajeti yake ya mwaka mpya wa fedha na hata bajeti zilizopita.

Alisema kuwa serikali ya CCM imeendelea kuwaweka vijana wa taifa hili rehani kwa kuendelea kuua viwanda ambavyo kimsingi ni injini nyingine ya kutatua tatizo la ajira nchini.

"Viwanda ndiyo sekta inayoweza kuajiri watu wa aina yoyote, wenye ujuzi na wasio na ujuzi, wenye elimu na wasio na elimu, lakini serikali ya CCM imeshindwa kulitambua hili," alisema.

Alisema, taifa linahitaji uongozi wenye maono mapya ili kujenga taifa bora.

Source:Tanzania Daima


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[TABLE="width: 1013"]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffffff"][TABLE="width: 599"]
[TR]
[TD]na Lucy Ngowi


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD="width: 200, bgcolor: #FFFFFF"]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 599"]
[TR="bgcolor: #ffffff"]
[TD]KATIBU Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Deogratias Munishi, amesema kuwa serikali ya CCM imekosa maarifa ya kutambua kuwa elimu bora inayokidhi mahitaji ya taifa ndiyo njia ya kutatua tatizo la ajira nchini.


Munishi alisema fursa za ajira zimejaa duniani kote, wanaozifaidi ni wale wenye maarifa na ujuzi ambao msingi wake mkuu unatokana na elimu bora wanayoipata.


Alisema anashangaa kuona serikali ya CCM imefilisika kifikra na maono ya kulinasua taifa kutoka kwenye janga hili, kwa kushindwa kuifanya sekta ya elimu kutokuwa kipaumbele kwenye bajeti yake ya mwaka mpya wa fedha na hata bajeti zilizopita.


Alisema kuwa serikali ya CCM imeendelea kuwaweka vijana wa taifa hili rehani kwa kuendelea kuua viwanda ambavyo kimsingi ni injini nyingine ya kutatua tatizo la ajira nchini.


“Viwanda ndiyo sekta inayoweza kuajiri watu wa aina yoyote, wenye ujuzi na wasio na ujuzi, wenye elimu na wasio na elimu, lakini serikali ya CCM imeshindwa kulitambua hili,” alisema.


Alisema, taifa linahitaji uongozi wenye maono mapya ili kujenga taifa bora.

Source:Tanzania Daima



[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Baraza la Vichaa Tanzania
 
[TABLE="width: 1013"]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffffff"][TABLE="width: 599"]
[TR]
[TD]na Lucy Ngowi

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD="width: 200, bgcolor: #FFFFFF"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 599"]
[TR="bgcolor: #ffffff"]
[TD]KATIBU Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Deogratias Munishi, amesema kuwa serikali ya CCM imekosa maarifa ya kutambua kuwa elimu bora inayokidhi mahitaji ya taifa ndiyo njia ya kutatua tatizo la ajira nchini.


Munishi alisema fursa za ajira zimejaa duniani kote, wanaozifaidi ni wale wenye maarifa na ujuzi ambao msingi wake mkuu unatokana na elimu bora wanayoipata.


Alisema anashangaa kuona serikali ya CCM imefilisika kifikra na maono ya kulinasua taifa kutoka kwenye janga hili, kwa kushindwa kuifanya sekta ya elimu kutokuwa kipaumbele kwenye bajeti yake ya mwaka mpya wa fedha na hata bajeti zilizopita.


Alisema kuwa serikali ya CCM imeendelea kuwaweka vijana wa taifa hili rehani kwa kuendelea kuua viwanda ambavyo kimsingi ni injini nyingine ya kutatua tatizo la ajira nchini.


“Viwanda ndiyo sekta inayoweza kuajiri watu wa aina yoyote, wenye ujuzi na wasio na ujuzi, wenye elimu na wasio na elimu, lakini serikali ya CCM imeshindwa kulitambua hili,” alisema.


Alisema, taifa linahitaji uongozi wenye maono mapya ili kujenga taifa bora.

Source:Tanzania Daima


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

kuna vijana wa ccm wapumbavu humu watakuambia hiyo habari imetoka Tanzania Daima.
 
Baraza la Vichaa Tanzania

Ama kweli nchi hii kuna wagonjwa wengi wa akili yaani wewe umeona hii habari ni ya kijinga lol!!unatakiwa umuone Dr mapema ufanyiwe Pherapy maake hauko mzima yaani Ccm na serikali wameuwa viwanda na wewe unashabikia pole sana.
 
hawa vijana ambao kazi yao ni kumwagia watu tindikali wana jipya lipi la kuwaambia watz??
 
Bar ya Vichaa Tanzania (BAVICHA)

Nimegundua kumbe weye taahira tu kwa hiyo hakuna haja ya kuendelea kusemezana hapa.Kama vichaa wanatambua kuwa wamenyimwa elimu na wanakoseshwa ajira basi hao ni vichaa werevu kuliko vichaa haswa wa lumumba wasiojua hili wala lile!
 
Ama kweli nchi hii kuna wagonjwa wengi wa akili yaani wewe umeona hii habari ni ya kijinga lol!!unatakiwa umuone Dr mapema ufanyiwe Pherapy maake hauko mzima yaani Ccm na serikali wameuwa viwanda na wewe unashabikia pole sana.

Hivi ni lini ulishasikia kijana wa CCM akiongea kitu kuhusu vijana akaeleweka? Ulishajiuliza ni kwa nini hakuna? Hujawahi kupata jibu kuwa tunda halianguki mbali na mti? UVCCM ni kama baba na mama zao CCM ambao hawana jipya lolote kwa vijana wa nchi hii. Period!
 
Back
Top Bottom