peleka kule chit chat mkuuMizengo pinda hajui ung'eng'e kwenye kumpokea Obama akaanza kumsalimia ikawabkama hivi
Mizengo-who are u?(badala ya how are u?)akitegemea jibu I am fine kutoka kwa Obama.
Obama-hahaha me I am Michelle's husband.
Obama-and you?
Mizengo-me too..
Kilichoendelea hapo Angalia YouTube.. vumbi lilitimka..