NAMKWAKWA
Member
- May 16, 2013
- 43
- 38
Askari jeshi la polisi mkoani mtwara wameingia katika kipindi kigumu baada ya baada ya kulazimika kuhamia katika kambi zilizopo kutuo kikuu mkoani mtwara na kuishi ktk mahema,hiyo imesababishwa na kuhofia usalama wao mitaani pia wamiliki wa nyumba mkoani mtwara wamegoma kuwapangisha askari polisi.Hali hii imesababishwa na vurugu zilizotokea mkoani mtwara na kusababisha jeshi la polisi kuchukua hatua ya kujeruhi,kuua na kuharibu na kupora mali za raia