Another Joke from Kikwete: Every student to have computer in five years time | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Another Joke from Kikwete: Every student to have computer in five years time

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Elli, May 27, 2010.

 1. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,135
  Trophy Points: 280
  Asabuhi ya leo nilikua nikisikiliza news toka Radio WAPO, mojawapo ya taarifa ni kwamba eti Kiranja mkuu kawaambia wachaga kuwa miaka mitano ijayo shule elfu tatu zitakuwa zinafundisha kwa kutumia Tele-conferencing system hivyo tatizo la uhaba wa Walimu litapungua...na blah blah nyingi. Swali langu la wasiwasi ni kwamba,

  Hapa UDSM achilia mbali huko primary na secondary, wameshindwa kutumia system hizo, huko kwa walimu wa watu wasiojua lolote si ndio kuwadangaya kweli? UDSM zipo room ALT A & B na SA & SB vyenye hii mifumo ambayo wala haifanyi kazi wala haitumiki...jamani kweli walimu wetu waweza kuyafanya haya ndani ya hiyo miaka mitano ya Kiranja mkuu huyu, ajabu ya Mungu wachaga wale wakapiga makofi na kufurahia kweli kweli.

  Tunakoelekea tutakuja kuambiwa mabomba yatatoa maziwa tukubali. tuwaeleze wananchi vitu ambavyo vina mantiki na sio kuongea ili mradi umeongea
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  May 27, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  aaaah kwani na wewe umejua leo Kikwete[Mh] kuwa si mkweli, kua, anaahidi hovyio hovyo mambo ya kijinga tu, anazungumzia Tele-conferencing system kwenye primary school. wakati hata kupelekea vitabu vya kiada kwenye mashule hayo kumemshinda.

  achananeni nae, mnyimeni kura, anawadanganya, anawadharau, nawaambia kweli Watanzania wenzangu.
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,135
  Trophy Points: 280
  Hapo hapo, na je kuwapiga mkwara wazazi wetu kama vile watoto wadogo je? eti asiyetaka kazi aondoke!!!! hajui kuwa ilimaanisha hata dereva, mpishi, daktari na wengine pamoja na mlinzi wa mamsapu angeondoka....

  Tufikirie kabla ya kusema.....kura fifty fifty
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  May 27, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  mwaka waa pili sasa kila ninaloliomba litokee halitokei.
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Being prolific doesnt mean you are an accomplished person
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  May 27, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  huyu mzee wa bagamoyo, amekosa sifa za kuaminiwa kutokana na maneno yake
   
 7. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mi naona bora angewahidi kuwa atawaboreshea mitambo kwa ajiri ya kusindika mbege
  kwenye chupa na kupelekwa kwa wingi mbeya hasa rungwe/tukuyu
  ningemwona kidogo kajitahidi kudanganya, eti jamani!!
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  si angejenga kwanza shule za watoto wanaosomea chini ya mbuyu huko vijijini, izo technologia atazipeleka wapi na kuna shule hadi leo hii watoto wanakaa chini, wengine wanasoma shule za nyasi na udongo, kifuku hawaendi shule manake wataloa,...wengine bado wanasomea chini ya mibuyu....hivi anafikiri watz wanadanganyika siku hizi, wanamsikiliza akiondoka tu wanamfyonya na kumpuuzia.
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  this is incredible!!!

  i hope alikua anatania
   
 10. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  Amedanganya tena!!!! Vipi huyu! Maana tunazidiwa sasa! Ukiona mtu mzima anatoa ahadi nazo zinakuwa hazitekelezeki, anashtuliwa, na bado hawezi kuzitekeleza halafu anafanya ahadi mpya, ujue hapo lipo jambo. Mahali fulani alipobanwa kuhusu barabara aliyoahidi ya lami, alichoweza kufanya ili aaminike, alimteua mkandarasi na kumwamuru apeleke vifaa eneo lile kabla ya maandalizi yale mengine yahusiyo mambo ya upimaji na kutoa mali zilizo katika msongo wa hio barabara. Maskini anahitaji tiba. Lakini hii radio ni ya kuaminika kweli, Radio WAPO! Mimi sikiamini hiki chanzo!
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Jamani huyu jamaa labda alikuwa anatania kwani nakumbuka alishawahi kusema anataka kugeuza jiji la Mwanza liwe kama New York na wananchi wakashangilia.
   
 12. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,354
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  hahaha! Ndibalema hii post yako tamu bana! dah duniani kuna mambo!!
   
 13. M

  Magezi JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hayo si yeye kayaandika kaandikiwa kutokana na ule mradi wa laptops kwa watoto wa primary. Lakini ukweli ni kwamba hata huo mradi unweza kuwa na effect baada ya miaka zaidi ya 15 kutoka leo kwa hiyo pale amewadanganya wananchi.

  Fikiria mpaka sasa kuna watoto wanansomea chini ya mti, achilia mbali wanaokaa chini darasani leo uongelee tele-conferencing?? He might be joking!!

  Ni kikwete huyu huyu ametamka mwaka 2006 eti baada ya miaka 3 mgao wa umeme utakuwa historia je, leo anaweza kusimama na kulizungumzia hili hadharani??

  CCM = Maiti
   
 14. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi bado hamjatambua tu kwamba huyu jamaa is more barking and no biting at all!!!!!!!!!! Si ni huyu alisema serikali yake itakuwa na e-government in 2005? Au mmesahau!
   
 15. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Maongezi yake kwa sasa ni sehemu ya 'entertainment'! Kama unavyoangilia 'orijino komedi, 'Mr. Bin', 'Mizengwe' na comedians unaowajua wewe. Tofauti na hizo comedies nyingine ya kwake inachuja kila siku.
   
 16. MANI

  MANI Platinum Member

  #16
  May 28, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Natumai alikuwa anatania kwani ndio zake hizo!
   
 17. M

  Magezi JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  President Jakaya Kikwete has said every secondary school student in the country will have own computer to aid them when studying in the coming five years. He said by then, all schools will have been connected to the internet.

  He said this yesterday when addressing a public rally at Okaoni Ward after opening a police station and houses for police built by residents of Kibosho Division, Moshi Rural District in Kilimanjaro Region.

  The President said the government was working to connect all secondary schools to the national optic fibre system, adding that every student would be taught how to use the Internet.

  "We want all secondary schools to be connected with the optic fibre in five years time to enable teachers to teach many students at once," he said, adding, "We want every student to have their own computer connected to the Internet".

  Investors from the US had agreed to help in the distribution of the gadgets and technology, the President said. He added that schools currently going without electricity and those not connected to the Internet would be assisted to access the services.

  Explaining further on the project, he said that the government would start with 3,192 schools in six districts as a pilot project sometime this year. He would not mention the districts.

  "We are in the 21st Century; there is all reason to make our people move hand in hand with the technology they need by availing modern facilities to them and their children. That is why we think that every child must have a computer to use while studying," President Kikwete insisted.

  He said the government was aware of the problem of the inadequate number of laboratories in most of the secondary schools and that it was working with the African Development Bank (AfDB) to build the science facilities and install modern equipment in every secondary school.

  On the problem of teachers, he said: "The shortage of teachers is being worked out and will be reduced soon after the stakeholders had increased the number of teaching colleges".

  President Kikwete said some people had ignored the government's directive of building secondary schools in every ward without knowing that the number of schools that existed since the colonial period was not enough to cater for the country's present population.

  He said a total of 550,000 students were selected to join secondary education this year in various schools and that over 700,000 missed the chance due to fewer number of schools.

  The President said the intention was to ensure that ward secondary schools received one million students who finished Standard Seven every year.

  "We want to reach a place where each pupil who starts Standard One is assured of getting secondary education without facing any hindrances," he said.

  He also said the government had set aside a budget for buying books for all secondary schools to avert the problem of students sharing one textbook.

  Speaking to voters earlier, the Member of Parliament for Moshi Rural, Dr Cyril Chami, said the constituency has put in place strategies to boost coffee production.

  Dr Chami, who is also Industry, Trade and Marketing deputy minister said all councillors had received training on the handling of the cash crop.

  SOURCE:
  THE GUARDIAN
   
 18. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Muungwana alisema atajenga fly over Dar vipi mradi umefikia wapi ?
   
 19. M

  Magezi JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  In my view the president should stop giving jokes like what he did in 2005 during the campaigns. If we talk ni reality even the University students in the country do not have computers to each individual, they are forced to share those available in the labs.

  It does't click in my mind that in just five years time the poorly ruled and managed country can afford to provide computers to all secondary education students. The people of Tanzania could have understood him if he could have said that in that period of time he will try to equip the universities with good computers in the laboratories, not even to every individual.

  I advise Dr. Kikwete to think before giving these controversal promises.
   
 20. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hizo ni porojo na fix tu ...kampeni imeanza kiujanja ujanja wananchi tumestukia
   
Loading...