Lazima mshinde kaloleni-JK

Lazima mshinde kaloleni-JK

Status
Not open for further replies.

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
482
Reaction score
131
Wanabodi
Habari za uhakika zinasema kuwa Mwenyekiti wa ccm Taifa ameagiza kwa gharama yoyote lazima ccm ishinde kata ya Kaloleni,na ametishia kuutimua uongozi wa Wilaya,endapo utashindwa katika uchaguzi huo wa Jumapili,sababu ya msingi ni nyumba za Halimashauri ambazo inadaiwa kuwa Meya wa Arusha akishirikiana na Ridhiwani pamoja na waarabu wanataka kujenga Mall kubwa na ya kisasa,hivyo kushinda kwa diwani wa ccm kutarahisisha ujenzi huo
Itakumbukwa kuwa CHADEMA chini ya madiwani wake hasa Diwani wa Levolosi wamekuwa msitari wa mbele kupinga uuzwaji huo wa kifisadi,
Wakati ccm wakifanya mipango ya kata moja,upande wa CHADEMA umeapa kushinda kata zote nne,na kwamba wamejiandaa vya kutosha
 
A town ma ccm hayana chao bora yakojoe yakalale mapema.!
 
Nashauri huo uongozi wa wilaya ya arusha uanze kufunga virago mapema kwasababu kata zote 4 zinarudi kwa CHADEMA kwa 88%.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huo uongozi wa wilaya uanze kufunga virago kabisa kwasababu CHADEMA inarudisha kata zake zote 4.

Tutalinda kura kwa gharama ya damu zetu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wanabodi
Habari za uhakika zinasema kuwa Mwenyekiti wa ccm Taifa ameagiza kwa gharama yoyote lazima ccm ishinde kata ya Kaloleni,na ametishia kuutimua uongozi wa Wilaya,endapo utashindwa katika uchaguzi huo wa Jumapili,sababu ya msingi ni nyumba za Halimashauri ambazo inadaiwa kuwa Meya wa Arusha akishirikiana na Ridhiwani pamoja na waarabu wanataka kujenga Mall kubwa na ya kisasa,hivyo kushinda kwa diwani wa ccm kutarahisisha ujenzi huo
Itakumbukwa kuwa CHADEMA chini ya madiwani wake hasa Diwani wa Levolosi wamekuwa msitari wa mbele kupinga uuzwaji huo wa kifisadi,
Wakati ccm wakifanya mipango ya kata moja,upande wa CHADEMA umeapa kushinda kata zote nne,na kwamba wamejiandaa vya kutosha

Mmh! Kama ni kweli ni kauli ya hatari. Inaweza kuleta maafa.
 
A town ma ccm hayana chao bora yakojoe yakalale mapema.!

sisi sio vikojozi kama nyie, hakikisha mwenyewe umeshakojoa kabla hujaingia kitandani na ukaharibu mambo kama kawaida yenu
 
Hii kauli pamoja na ile kauli ya "wapigwe tu, nasema wapigwe", zinatosha kabisa kumpeleka mtu ICC. 2016 sio mbali, watch out Mr Chairman...
 
Wanabodi
Habari za uhakika zinasema kuwa Mwenyekiti wa ccm Taifa ameagiza kwa gharama yoyote lazima ccm ishinde kata ya Kaloleni,na ametishia kuutimua uongozi wa Wilaya,endapo utashindwa katika uchaguzi huo wa Jumapili,sababu ya msingi ni nyumba za Halimashauri ambazo inadaiwa kuwa Meya wa Arusha akishirikiana na Ridhiwani pamoja na waarabu wanataka kujenga Mall kubwa na ya kisasa,hivyo kushinda kwa diwani wa ccm kutarahisisha ujenzi huo
Itakumbukwa kuwa CHADEMA chini ya madiwani wake hasa Diwani wa Levolosi wamekuwa msitari wa mbele kupinga uuzwaji huo wa kifisadi,
Wakati ccm wakifanya mipango ya kata moja,upande wa CHADEMA umeapa kushinda kata zote nne,na kwamba wamejiandaa vya kutosha

Mmh sasa tatizo liko wapi mkuu. Haya majigambo ni kawaida unatetemekaa mtoto wa kike.
 
Huu ushabiki wa vyama umepitilizliza. Joyce na kagame ni waume au
 
Tarehe 14-07-213 by saa kumi jioni huwa tunakuwa tumeshamaliza kazi.
Msikimbie mtandaoni.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Nitakutafuta mkuu wangu. Ninachokuomba ni usikimbilie kusema mmeibiwa kura au kujifariji na asilimia mtakayoipata.
 
Wanabodi
Habari za uhakika zinasema kuwa Mwenyekiti wa ccm Taifa ameagiza kwa gharama yoyote lazima ccm ishinde kata ya Kaloleni,na ametishia kuutimua uongozi wa Wilaya,endapo utashindwa katika uchaguzi huo wa Jumapili,sababu ya msingi ni nyumba za Halimashauri ambazo inadaiwa kuwa Meya wa Arusha akishirikiana na Ridhiwani pamoja na waarabu wanataka kujenga Mall kubwa na ya kisasa,hivyo kushinda kwa diwani wa ccm kutarahisisha ujenzi huo
Itakumbukwa kuwa CHADEMA chini ya madiwani wake hasa Diwani wa Levolosi wamekuwa msitari wa mbele kupinga uuzwaji huo wa kifisadi,
Wakati ccm wakifanya mipango ya kata moja,upande wa CHADEMA umeapa kushinda kata zote nne,na kwamba wamejiandaa vya kutosha

kuumbe aisee huo ni ukweli mtupu, hawafanikiwi kamwe
 
Hiyo "Gharama yeyote" naombea isiwe ni Damu za Watanzania tena.....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom