CHADEMA: Anguko kanda ya ziwa mashariki

CHADEMA: Anguko kanda ya ziwa mashariki

BUNUNGULI

Senior Member
Joined
Apr 4, 2013
Posts
192
Reaction score
37
Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--
 
Kumekuwa na kanda mbalimbali za chadema,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--
Hivi CHADEMA kuna viongozi wa M4C? au umeamua kujifurahisha tu
 
Pole sana kwa kujitia moyo!
MASELE naye ALISHINDA UBUNGE kweli!?
Shinyanga Mjini???
Acha upuuzi wewe!
 
Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--

una akili ya Kima mtoto
 
Mwandiko wako wenyewe kichefuchefu kitupu........ Utasubiri sana anguko la chadema
 
chadema kama hujatoka mikoa fulani hakuna uongozi ndiyo maana ukifuatilia kwa karibu viongozi wa chadema ngazi ya vyo 99% wanatoka arusha na klm,jiulize ni kwa nini
 
kweli nimeamini,hata waliopo kanda ya ziwa ni walewale....acha warushe matuasi lakin ukweli ni laizma usemwe ili kuwe na mabadiliko,tatizo la wenzangu ukigusia chadema unaitwa puppet wa ccm...kwahyo mnataka chadema tuisifu tu? Hata wanapofanya isivyo sisi tusifu tu? Hapana kwakweli acheni hivyo,muda mwingine na sisi tujikosoe ili tubadilike zaidi
 
Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--

Mwanaume unanyweshwa pombe za bure mpaka unalewa mchana wote huu..
 
Hata namna yako ya kuandika inadhihirisha unaandika kitu usichokijua au umeamua kutunga uongo. Weka facts unazofikiri unazo, kisha utajibiwa kwa hoja ili upate ukweli.

Vinginevyo usitunge maneno.
 
kweli nimeamini,hata waliopo kanda ya ziwa ni walewale....acha warushe matuasi lakin ukweli ni laizma usemwe ili kuwe na mabadiliko,tatizo la wenzangu ukigusia chadema unaitwa puppet wa ccm...kwahyo mnataka chadema tuisifu tu? Hata wanapofanya isivyo sisi tusifu tu? Hapana kwakweli acheni hivyo,muda mwingine na sisi tujikosoe ili tubadilike zaidi

Ukosoaji huendana na facts. Si maneno ya kutunga ambayo hata kuandika yanakupatia shida.
 
Hahahahaha... tedo umemaliza kumbe tunajibizana na mlevi hapa khaaaaa

wajinga wakubwa,mnataka tusiiongelee chadema kwa misingi ipi? After all mnaozungumza hampo maeneo haya,mnataka tusiseme ujinga unaofanyika ndani ya chadema? Huu ni ujinga na upuuzi,kwahyo issue ya kujadili ni ya ccm tu,chadema tusiseme? Stupid mind
 
Last edited by a moderator:
wajinga wakubwa,mnataka tusiiongelee chadema kwa misingi ipi? After all mnaozungumza hampo maeneo haya,mnataka tusiseme ujinga unaofanyika ndani ya chadema? Huu ni ujinga na upuuzi,kwahyo issue ya kujadili ni ya ccm tu,chadema tusiseme? Stupid mind

Hahahahaha ona unavotokwa povu mchana wote huu... Taratibu usiturushie mate bana , pombe za mchana mbaya asee! Pole kajipange upya uje tena! Hii hapana imebuma kabla jua halijazama!!
 
wajinga wakubwa,mnataka tusiiongelee chadema kwa misingi ipi? After all mnaozungumza hampo maeneo haya,mnataka tusiseme ujinga unaofanyika ndani ya chadema? Huu ni ujinga na upuuzi,kwahyo issue ya kujadili ni ya ccm tu,chadema tusiseme? Stupid mind

Mpaka unatia huruma jamani...!!!!! Angalia usije ukavunja PC au ako ka-simu chako ukashindwa kupost Mashudu yako hapa siku ingine...
 
una akili ya Kima mtoto

Si uende ukapike chakula kama una lolote,sio lazima uingie ndani humu. Huyo Masele alishinda kwa tofauti ya kura moja kama sio wizi ni nini??? Hata kupika ni kazi pia
 
Back
Top Bottom