Vijijini Lawama
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 298
- 73
Tumaini Makene kama utaona thread hii naomba uniambie ukweli kuhusu M4C, imeishia wapi? Au mmejikuta mnaconcentrate kwenye kujibu propaganda za CCM na kusahau kitu kizuri ambacho mlikianzisha kwa lengo zuri la kutangaza chama na kuinua chama kimapato?
Naomba kama raia mpenda mageuzi zoezi hili liendelee hadi kwenye wilaya ili mambo yanoge vizuri, Kitu kimoja niwakumbushe mnaanzisha vitu halafu mkipigwa na dhoruba kidogo mnasahau sasa sijui mpango kazi wenu umekaa vipi.
Hata mpango wa kufungua misingi sisikii tena kweli mimi nashindwa kuelewa kama 2015 itafika CDM ikiwa imekamilisha mipango yake yote kwa utaratibu huu.
cc Tumaini Makene
Mohamed Mtoi
Michael P. Aweda
Molemo