Ujinga, hata baada ya miaka 50 ya Uhuru!!!?

Ujinga, hata baada ya miaka 50 ya Uhuru!!!?

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Posts
8,467
Reaction score
9,053
Nimepata haya mabandiko kutoka kwenye vyanzo tofauti na kuona ni vizuri kushare na wanajamvi.

Tafakarini tafadhali!

Hebu fikiria fikra hizi bora "Ni jambo la kijinga kuchagua fedha kuwa ndiyo chombo chetu kikubwa cha maendeleo na hali tunajua kuwa nchi yetu ni maskini. Ni ujinga vile vile, kwa kweli ni ujinga zaidi, tukidhani kuwa tunaweza kuondoa hali hii ya unyonge wetu kwa kutegemea fedha za kutoka nje badala ya fedha zetu wenyewe. Ni ujinga kwa sababu mbili..."

Sasa sitazitaja sababu hizo mbili. Ukitaka kuzijua tafuta Azimio la Arusha au niandikie nitakutumia. Sasa Obama amekuja nasi tumeona ahadi zake; ahadi za fedha nyingi – neema! Na watawala wanatuambia kuwa kuna neema inakuja; vyombo vya habari vinatangaza neema. Kumbe ni ujinga! Na hili si tusi – ni Azimio la Arusha linasema hivyo, Amekuja, kaondoka kama alivyokuja kwani Tanzania si kwake, na watu wake hapa si kwao, hivyo wote wamefunga virago na wengine labda wanaondoka taratibu, lakini kila mgeni aliyekuja kwa sababu ya ujio wa Obama anaondoka zake. Wametuachia nini hasa?

Kaondoka katuachia nchi ile ile ya Tanzania chini ya viongozi wale wale, toka chama kile kile chenye sera zile zile zilizotufanya tuwe ombaomba wa kudumu. Ameondoka na kutuachia watawala walewale, polisi wa vitu vyenye ncha kali wale wale, wanasiasa uchwara wenye kutukuza matumbo yao wale wale. Kimsingi Obama amekuja, tumemuona na kaondoka; katuachia matatizo yale yale yaliyokuwepo siku ya Ijumaa iliyopita. Ulinzi wote ameondoka nao. Vyombo vya habari vya kimataifa vilivyokuwa vinamulika Tanzania kamera zao zimezimwa. Tumebakia Watanzania wale wale. Watoto wetu ambao wengine walionekana wamevaa vizuri na kwenda kumvisha mashada hawawakilishi mamilioni ya watoto ambao wanaishi kwenye maisha duni na wanaosoma kwenye shule za ujima. Tanzania iko vile vile.

Swali kubwa linabakia; je, tuko bora zaidi leo hii kwa sababu ya ujio wa Obama, au tumeona na kutamani mambo yaliyofanywa na binadamu wenzetu kiasi kwamba tunafikiri Mungu amewapendelea zaidi kwa sababu ni Wamarekani? Hivi tunapoona ukuu wa Marekani tunafikiri umeshushwa na malaika? Si binadamu hawa? Si watu wanaozaliwa na kufa kama wengine? Si wanadamu wanaozaliwa na kubadilishwa nepi kama watoto wa mwanakijiji wa Ujiji? Au tunafikiria hizi suti na miwani na rangi yao wenzetu ni binadamu zaidi kati ya watu?

Sasa kama wao wamefika walipofika, tunafikiri wamefika hapo kwa sababu wamependelewa? Wenzetu wakiona watawala wao wabovu wanawaondoa kwenye sanduku la kura; wanawaambia kwanini wanawaondoa. Na katika kuwaondoa haina maana ni uadui – si tumeona Rais Bush na Obama wamekutana na kufanya mambo pamoja wakati wawili hao wanatoka vyama tofauti na tawala mbili zenye mwelekeo tofauti? Na sisi tunashindwa nini kufikiria kuwaondoa watawala walioshindwa na kuleta mwelekeo mpya wa utawala?
IGNORANCE:

ONE:
Ignorance is learning and succeeding to kill the snakes that used to cheat our women into leading us to forfeit our Permanance creation inheritance and allowing some of us inherit the snakes venomous fangs!

TWO:
Ignorance is to think we are powerless, and that Institutions, corporations or governments have their life of their own and not run by only groups of people, people like you and me.

THREE:
Ignorance is ignoring the lessons of of previous evil regimes led by the likes of Amin Dada of Uganda, Pol Pot, Pinochet, Bokasa and Yes Adolf Hitler. We pretend to be unaware of the doctrine that informed those regimes. The essence of those regimes, let me remind you whether you like it or not, is the DOCTRINE that the "Strong" shall rule over the "WEAK" and that the weak are contemptible because they are weak. These doctrines express deep rooted tendencies which are constantly alive in and around us. Tribal hegemony, the "TYRANNY of Tribal Numbers". We tend to admire those who fight their way to the top and are contemptous of the losers. Nothing demonstrates this more than the events prior and after the March 4th. 2013 Presidential Election in Kenya. The doctrines that informed, Nazism, the brutalities of Bokasa, Amin, Pol Pot, Pinochet and Apartheid are the ultimate product of a philosophy which despised the "WEAK" and Admired the "STRONG"......The Brutalities of these regimes including Nazism for instance was not just the product of certain historical condition in Germany,Chile, Uganda, Cambodia and Central Africa Republic. It was also the consequence of certain philosophy of life, a given set of norms, values and perceptions of reality. We are not living in their situation but we are practising many of the same norms and evaluations. Hearing the "Tyranny of tribal numbers" doctrine and how its manipulated,........ IS VERY FRIGHTENING!

FOUR:
Ignorance is the pretence and the hypocrisy by our intellectuals, who have been seized and taken out of themselves by collective enthusiasm, in totalitarian parade; the self-righteous upsurge of tribal loyalty that blots out conscience and absolves every criminal tendency in the name of class, tribe or sect (ICC case against Uhuru and Ruto are classic example here). The danger and the attraction of these false supremacy mystiques of tribe and class is precisely that they seduce and pretend to satisfy those who are no longer aware of any deep or genuine spiritual and morals needs. These false mystiques of the Mass Society captivates men who are so alienated from themselves and any purpose of their lives, who have given themselves to the beastly greed of materialism and ignorance of the educated. Yet it is precisely these ersatz forms of enthusiasm that are "opium" for the people, deadening their awareness of their deepest and most personal needs, alienating them from their true selves, putting conscience and personalities to sleep and turning free REASONABLE MEN into passive instruments of the Power POLITICIAN.

FIVE:
Ignorance is expecting political ideology to drive a revolution (Egypty is a good example here, but Egyptians are defining it make no mistake about it. in fact Morsi is learning the hard way, that the only baggage allowed on a political table is Leadership, Not religion, DUPERY and NOT TRIBALISM as Uhuru and Ruto are bound to discover really soon). A revolution is supposed to be a change that turns everything completely around, but the ideology pf political revolution will never change anything except appearances. There will be violence, a lot of noises, and power will pass from one party to another, but when the smoke clears and the bodies of all the dead men are underground, the situation will be essentially the same as it was before: There will be a minority of strong men in power exploiting all the others for their own ends. There wil be the same greed and cruelty and lust and ambition and avarice and hypocrisy as before. Jubilee is a prime example.

SIX:
Ignorance is allowing ourselves to be galvanized into surrendering our promising collective future as a nation, believing in the dupe we are safeguarding our respective sectional interests, yet being prey to personal agendas.





 
You have put it clear.Could you please send copies to chemba,nape and others of that type to help sharping their minds
 
Back
Top Bottom