Jamani, POLISI wa Tanzania waongo, walisema hapa FBI wameitwa Arusha kwenye uchunguzi wa bomu lililorushwa kwenye mkutano wa CHADEMA sasa American embassy wamekanusha! Hii imekaeje? Source: Gazeti la Citizen leo!!
Magumashi na propaganda,haiitaji FBI kujua nani anahusika na hata hao wachina waliosema ni wachina fake tena huenda wakandarasi wa barabara ili kuficha ukweli!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.