Shana Boy
Member
- Apr 20, 2013
- 32
- 5
Kwanza kabisa poleni kwa kazi nzuri ya kukijenga chama humu mtandaoni na mitaani kwa ujumla,pili niwatoe hofu kuhusu uchaguzi wa kesho ta 14/7 hapa Arusha kuwa tumejipanga vya kutosha kuhakikisha tunalinda kura zetu ili kuhakikisha ushindi unapatikana kwa njia halali,kwahiyo tujipe moyo.Pia niwaondoe wasiwasi kuwa HAKUNA wakala wetu hata mmoja ambae ni mamluki wa CHADEMA kama alivyo dai mmoja wa member humu JF kwenye thread yake kuwa mawakala wa CCM ni mamluki wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa kesho,tuna waamini mawakala wetu kuwa ni watu makini sana.
Ndugu wanachama wenzangu nina ombi moja kwenu,kuwa ninawaombeni sana tujitahidi kushindana kwa hoja na hawa wenzetu wa CHADEMA,tusitumie nguvu nyingi sana kuwapondea na kuwatukana kwakua kufanya hivyo si njia sahihi ya kukijenga chama bali yunajionyesha tulivyo na fikra na mawazo duni,
bali tushindane nao kwa hoja zilizo imara na za msingi.
Pia tuna wahakikishia wanachama wetu kuwa sasahivi tumejipanga vya kutosha kukurudisha Chama mikononi mwa viongozi waadilifu na makini na kukitoa mikononi mwa wale viongozi wenye ufinyu wa mawazo,kuna baadhi ya viongozi na vijana wasio na uongozi wowote wanakipeleka chama mahali ambapo si salama,hilo tumeliona na tumeanza kulifanyia kazi.
Nawatakia afya njema na utendaji mwema
CCM DAIMA