Tanzania nchi yangu

Tanzania nchi yangu

kutiti

Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
61
Reaction score
5
Jamani wanajamvi nisaidieni uenda mimi ndo sielewi. Kwani ukiwa chama pinzani ni uadui coz naona sku hizi serikali ikikujua kuwa wewe ni mfusi wa chama pinzani basi inakuwa tabu, mfano ni hapa arusha kwa sasa ukionekana una kitu chochote chenye nembo au rangi ya chadema polisi wanakukamata je ni sawa? ( mungu ibariki tanzania)
 
Back
Top Bottom