CCM;na wimbo usionyamazisha mwana.

CCM;na wimbo usionyamazisha mwana.

ferre.g

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
2,215
Reaction score
329
Habari wana JF,

Desturi ya binadamu ni kuendesha mambo yake kwa kufuata wakati,huu ndiyo huwa msingi wa kila kitu na mwongozo wetu,SASA ccm kinapanda farasi wawili kwa wakati mmoja nitafafanua.

Ukweli ni kwamba chama hiki kinakabiliwa na wakati mgumu sana siku hizi.Viongoz wa ccm wamechoka na kutokana na kuchoka huku wanalazimisha kuingiam ktk mapambano dhidi ya ukweli halisi.Viongozi wa juu wanalazimisha upepo uende wapendako akitokea mtu akapingana nao basi aidha watamdhuru na kumjeruhi ama watambadili kwa kumshutumu na maneno makali na kutengeneza polisi wa kumjibia ujinga wake dhidi ya ukweli..rejea MWAKYEMBE DHIDI YA MANUMBA NA UGONJWA WAKE.

Hatua ya ccm kutumia polisi ktk siasa ni jambo ambalo sasa lipo wazi na hapo ndipo ukurasa wa mapambano unapoasisiwa kwa wananchi kuwa hiki chama kinalindwa na DOLA na ndo maana viongoz wengi wa dola wanapewa vyeo baada ya kustaafu ctawataja nanyi mwawajua fika.

Nahitimisha kwa kusema kuwa..MFUMO HUU SASA HAUNA MAISHA TENA NI MFUMO ULOCHOKA NA DALILI ZIKO WAZI,asanteni nawasilisha wanaJF.


ANGALIZO;WEKA MAWAZO SIYO MATUSI.
 
Back
Top Bottom