nani mwenye dhamira ya dhati??

nani mwenye dhamira ya dhati??

procura

Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
34
Reaction score
25
...taifa kwa sasa limekuwa katika harakati ambazo ni nzuri lakin zinaweza zikawa chanzo cha kulipeleka taifa pabaya kama hatutokuwa makini. swali langu ni nani mwenye dhamira ya dhati ya ukombozi wa hili taifa?? je ni viongozi wa siasa au wananchi wenyewe?? mm binafs naamini ni wananchi ndiyo hasaa wanaitaji mabadiliko ya dhati lakin wanasiasa wanatumia dhamira hii ya wananchi kutimiza matakwa yao, na katika kipindi hiki ndipo tunawaona wanasiasa wazalendo wakiwa kimya kwani kila waongeapo ukweli uandamwa na wanasiasa uchwara....zitto ni mfano wao.

si viongoz wa chadema wala CCM ambao wanaweza wakabadilisha mustakbari wa hii nchi, ni sisi wananchi wenyewe. kabla hawajaingia madarakan tunawafanya miungu watu kwamba wasemacho wao ndo sahihi, je wakiingia itakuwaje??

tuwe makini na hizi harakati...zisitutie upofu wa kifikra.
 
Back
Top Bottom