CCM wanagawa kombati za Chadema kwa green guard muda huu...

CCM wanagawa kombati za Chadema kwa green guard muda huu...

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Taarifa za kweli zilizothibitishwa na Kamanda Lema zinaeleza kwamba kuna uhalifu unafanyika muda huu Kata ya Elerai ambapo CCM wanagawa kombati za Chadema kwa vijana waliowaandaa ili zitumike kesho..wafanye vurugu ionekane ni Chadema..

Kikosi cha viongozi wa Chadema kinaelekea Polisi Makao Makuu kutoa taarifa wakadhibiti uhalifu huo na kama hawawezi basi Chadema wakafanye wenyewe!!
 
Nape Hachana na Ca.......ne . Ni mke wa mtu. Unajua ni kweli kwamba unatembea naye. MWIGULU amekurekodi kigoma, Arusha na Dar, sehemu tofauti.-Weekend iliyopita kakurekodi Giraffe Hotel. Unakanusha publicly, lakini moyoni unajua kweli. Nimeona video, ni clips tofauti. Lengo ni unyamaze kumchafua Lowassa.-Hawataiachia, sasa hivi, na mpango mzima ni Chadema wapewe ili 2015 usianze kuropoka kumchafua Lowassa. Mwigulu amekuwa akitumia watu wa bodaboda kuwafatilia, na camera anazotumia ni za kuweka sekunde kadhaa. Hizi zimenunuliwa kuwadhibiti Chadema. Nashangaa zinatumiwa ndani ya CCM.-Mwigulu ni shetani mtu. Kaa mbali na wake za watu. Mwigulu pia alirekodi huyo mwanamke alipompigia mama mtoto wako na kuanza kumtukana. Haya yote unayajua. Usijifanye hapa haujua kitu. Chukua hatua. Hachana na wake za watu. Hata kama anakuonga hela, kaa mbali naye. Mwigulu anadai huyu mwanamke aliyewahi kutoka na Lowassa anakuletea siri za mzee Lowassa, baadae unazipeleka kwa kundi la Sitta na MembeNape kwa heshima ya mume mtu, tunaamua kutokutaja jina ila tunakushauri ukae mbali. Tuko kambi ya Lowasa na hatuelewi Mwigulu alikujaje huku na haya mambo yake ya kighaidi.
 
Shombo tupu. Vyama vya siasa fanyeni siasa sio shombo.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wakuu,

Muda huu ccm wanagawa kombat za chadema kwa Green Guards usiku huu.
Lengo ni kwamba ili Green Guards wazivae kesho kana kwamba ni vijana wa chadema ndiyo wamevaa wanafanya vurugu wakati wa upigaji kura.

Muda huu makamanda wa chadema wameenda polisi kuiripotia hili tukio polisi, na kama polisi hawataweza kuwazuia ccm kugawa kombat za chadema, wawape kibali chadema kuzuia wenyewe.


Nawasilisha

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Umbea umbea tu. Hivi nyie Magwanda mbona mpo kama mademu. Yaani ushambenga tu umewajaa. Hizo kombati za magwanda zimefikaje CCM?
 
Aisee mnavyowahigi kusema kitakachotokea ndio mnaponimaliza.hapa kuna mawili,mnaweza kuwa mmejiandaa kufanya hivyo(cdm) na unachofanya hapa ni kuchota akili za watu ili yakitokea wawe na mtuhumiwa tayari,au ni kweli kuwa ccm wanafanya ulichosema.lipi ni kweli?sijui
 
Pigeni tu hao wachumia tumbo wa kimagamba, wanatuaribia nchii hawa
 
Watu wa Arusha, jitahidini kupata ushahd wa picha ... haya majangili bila teknolojia yatachelewesha sana ukombozi!!!
 
Mwigulu is always associated na damu

the best way forward is to elminate him kwenye siasa
 
Nyi magwanda mbona wambea sana. Yaani stori zenu za uongouongo kama mademu. Hayo magwanda CCM wameyapata wapi?
 
Mwigulu hawezi kufanya kazi hiyo bila bosi wake kumpa ok!! Mratibu wa kazi hiyo ni Jakaya Kikwete! Tusizunguke mbuyu!
 
Nadhani leo wewe uko kwenye heat sio bure, tulia kabisaaa uone mambo, nina doubt sio mwanamke wewe na huna hata staha maana huwezi kuikandia jinsia yako, una laana ya wazazi wako wewe sio bure
Umbea umbea tu. Hivi nyie Magwanda mbona mpo kama mademu. Yaani ushambenga tu umewajaa. Hizo kombati za magwanda zimefikaje CCM?
osie zumbemkuu waachitaia ichi kihoba
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Muda huu ccm wanagawa kombat za chadema kwa Green Guards usiku huu.
Lengo ni kwamba ili Green Guards wazivae kesho kana kwamba ni vijana wa chadema ndiyo wamevaa wanafanya vurugu wakati wa upigaji kura.

Muda huu makamanda wa chadema wameenda polisi kuiripotia hili tukio polisi, na kama polisi hawataweza kuwazuia ccm kugawa kombat za chadema, wawape kibali chadema kuzuia wenyewe.


Nawasilisha

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Huu ni upotoshaji uliotukuka ulioambatana na propaganda chafu za CHADEMA baada ya kuona dalili za kushindwa!!!
 
Tuko njiani kwenda polisi kwenda kutoa taarifa hizi. Tuko na wabunge Natse na Lema, tuko kama 300.
Hakuna hajaya watu mia tatu kwenda polisi, waende wachache na wengine washughulikie mengine. Watu mia tatu mtaonekana mnafanya fujo
 
Back
Top Bottom