Mgogoro wa Arusha chanzo chake kilikua ukiukwaji sheria na taratibu za uchaguzi wa meya. Gaudence Lyimo alipata umeya kwa mizengwe iliyofanywa na chama tawala.
Sababu ya kufanyika tena uchaguzi...
salaam sana wakuu,
Kwa niaba yangu na kwa niaba ya Watanzania wote naomba mtu yeyote mwenye access ya Bunge atupatie majina ya wabunge na michango yao waliopitisha tutwozwe sh 1000 kodi ya simu...
Nimesoma habari ifuatayo kwenye website ya IPP Media Home. Kwani ni vigezo gani vinatumika kuufanya mji kuwa ni City?
Minister: Bagamoyo to be declared city next year
Bagamoyo
A renowned...
...
WAKATI ushindi wa kishindo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini Arusha ukimweka pabaya Meya wa Jiji la Arusha, mazito mengine yameibuka baada ya Mkurugenzi wa Jiji la Arusha...
Rais wa Tanzania
Rais wa Tanganyika
Rais wa Zanzibar
Tofauti kubwa ya serikali tatu ukilinganisha na serikali mbili ni kwamba serikali tatu Zanzibar itapungua nguvu zaidi kuliko...
Wadau, nimeshangazwa sana naa na ujumbe huu alionitumia rafiki yangu na mpinzani wangu kisiasa, katika tafakuri yangu nikaona inawezekana kweli haya ndio mawazo ya wana-CCM. Jamani tusijidanganye...
Jk ameulizwa na mwakilishi wa ATN : Mh. tueleze je baada ya muda wako wa urais tutakukumbuka kwa lipi
Kikwete JIBU: Kwanza anaweka irrelevant story then anajibu: Mtanikumbuka kwamba NILIWATOA...
Naweza kusema kuna suala kubwa vijana wamejisahau nayo ni kwamba, unamfanyia campaign mwanasiasa ili yeye apate kazi wakati mwenzangu na mimi kila siku tunalia hatuna kazi, hakuna mwanasiasa...
Kigoma Ally Malima alikuwa mwanaharakati mahiri sana alikuwa haogopi mtu penye ukweli alikuwa anasema ukweli lakini fitna alizo kumbana nazo mungu ndio anajua na mkumbuke suala la mwanafunzi...
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amesema kuna hatari ya uchaguzi wa mwaka 2015 kwa Tanzania Bara kutofanyika ikiwa mapendekezo ya mabadiliko ya Katiba yaliyopendekezwa na Tume ya Katiba yatapita kama...
Wana Jamvi,
Kwa upepo wa kisiasa hapa nchini, ni dhahiri, hakika na bayana kuwa mabadiliko ya kweli hayaepukiki tena, iwapo fitina, vitisho, ulaghai, mauaji, kamatakamata, kutesana n.k...
Nimepata taarifa kuwa Kikao cha dharura kilichoitishwa na viongozi wa chama cha mapinduzi kimeamuwa kukata rufaa mahakamani kupinga ushindi wa chadema katika uchaguzi wa madiwani mjini Arusha kama...
Kama anavyojiita mwenyewe mtoto wa mama ntilie leo katoa elimu ya uraia kuhusu rasimu ya katiba na Redgrigade. Nilifika uwanja wa Uhuru Bukoba nikiwa nimechelewa kutokana na shughuli za kiofisi...
Mkuu wa wilaya ya Butiama Bi. Angelina Mabula ameliamuru jeshi la polisi wilayani humo kuwakamata na kuwasweka ndani viongoizi wote wa kijiji cha Lyangwa kwa tuhuma za kushindwa kuimarisha ulinzi...
Majina ya askari saba wa Tanzania waliokufa kwenye shambulio la ghafla mjini Darfur yamepatikana.
Askari hao waliokufa ambao walikuwa kwenye vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa huko...
Matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Madiwani Jijini Arusha yametoa ishara kali kwamba CCM watakuwa na hali ngumu sana katika Uchaguzi mkuu ujao 2015.Kundi la Wapiga kura linalotishia nafasi ya Chama...
Matokeo ya uchaguzi wa kata zote 4 za mkoani Arusha uliofanyika jana yanaonyesha kuwa katika vituo vyote vya uchaguzi chama changu cha CCM kimeshindwa huku CHADEMA akishinda katika vituo vyote...
Kazi ya usafirishaji Gas kutoka Mtwara inaweza kuanza wakati wwte kuanzia sasa kwa vile vifaa vyote vimeshakamilika, Takribani nchi zote ulimwenguni kwenye maeneo ya uchimbaji madini hutenga...
Ni ukweli usiopingika kwamba sasa Jiji la Arusha ni Kioo na Ngome kuu ya CHADEMA kwa siasa za Tanzania.
Baada ya mlipuko wa bomu kutokea ktk mkutano wa hitimisho la kampeni za CHADEMA ktk viwanja...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya CCM na vyama vingine vya siasa na vingine vya kikabila na kidini.
CCM bado inabaki kuwa chama chenye misingi imara na dhabiti. Kinakubalika bara na visiwani.
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.