Kigaila, Mpwapwa wana kuitaji wana taka msaada wako

lerai

Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
63
Reaction score
5
Niko mpwapwa wiki ya tatu sasa wana mpwapwa wame kosa mbunge wamekosa madiwani supavu wame kosa sauti na tamani kigaila uje kuwa komboa kama maiki yao msemaji wao wana sema nikufikiishie kilio chao na vijana wengi asubuhi ya leo wana taka mpwapwa siku moja iwe kama arusha kigaila kama una pita uku chukua ujumbe huu ufanyie kazi wape majibu wana mpwapwa naondoka mpwapwa lakini nitarudi kwani mpwapwa ina matatizo mengi na wame niambia kigaila ndio dawa
 
Ni kweli mkuu kuna umu
 
ndio ubaya wa kuichagua ccm,wabunge wenu wote wame amia dar....sasa mnalialia...akili kwenu 2015
 
Mbunge wa mpwapwa eti alikua anaitwa Obama kwenye kampeni za 2010 ni kilaza wa kutupwa amezubaa mpaka basi wapiga kura wake wametanguliza njaa mbele tena kuna jamaa fulani anaitwa Ima Ndule anatumika kama ile mipira ya kiume kwa kuendesha pikipiki kwenye kampeni za Ccm...Mwaka 2010 alikatika vidole vya mikono akimpigia kampeni Simbachawene wa Kibakwe yani Jamaa ni Mburula mbaaaya
 
Wabunge na madiwani wengi wa dodoma ni mizigo kwa wapiga kura. Wao ni wapiga dili na si vinginevyo!
 
2015 viongozi wote mtoke hapo makao makuu, mkagombee ubunge majimboni, kampeni za uraisi ziratibiwe na kanda, tunataka tuwe na baraza bora la mawaziri
 
Ni kweli wabunge wa majimbo yaliyo Dodoma wengi wao ni mizigo. Mfano Mh. Chibulunje (Chilonwa), Kibajaji(Mvumi), Lusinde (Kongwa) n.k. Hayo yote majimbo ni shida, hamna changamoto za kimaendeleo zinazotiliwa mkazo zaidi ya maneno. Vijana wamebaki watu wa kunywa pombe. Maji ni taabu japo ni tatizo la kitaifa lakini japo hata juhudi za makusudi ili kupunguza kero. Baadhi ya sehem watu wamejitahidi kukuza zao la zabibu, ni bahat mbaya hazina soko na kuishia kuoza shambani. Kwa ujumla dodoma mabadiliko makubwa yanahitajika si tu kwamba yanamilikiwa na CCM, nnamaana ya kupata viongozi wenye kuelewa nn wajibu wao kwa waajiri wao(wananchi).
 
Mbunge wa mpwapwa eti alikua anaitwa Obama kwenye kampeni za 2010 ni kilaza wa kutupwa amezubaa mpaka basi wapiga kura wake wametanguliza njaa mbele tena kuna jamaa fulani anaitwa Ima Ndule anatumika kama ile mipira ya kiume kwa kuendesha pikipiki kwenye kampeni za Ccm...Mwaka 2010 alikatika vidole vya mikono akimpigia kampeni Simbachawene wa Kibakwe yani Jamaa ni Mburula mbaaaya

Nawashauri ndugu zangu wa Mpwapwa na Kibakwe mfanye mabadiliko ya kweli,sasa ni wakati wa kubadilika muachane na maamuzi ya mazoea.Bila kuamua mtaendelea kulalamika bila kupata maendeleo ya kweli.Kigaila pekee yake hataweza bila kushikamana kwa nguvu ya umma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom