Ndugu zangu,
Baada ya tamko la Tendwa kuhusu CHADEMA, nimefikiria mambo mengi sana. Lakini kubwa kubwa kuliko yote ni kwamba hawa wenzetu, wakiwemo polisi, rais, Mwigulu, viongozi wengine wa CCM...
chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha...
Kwa wakazi wa Kigamboni kata/mitaa na Vitongoji vyake, mnaarifiwa kuwa zoezi la uchukuaji alama za vidole na upigaji picha kwa wananchi wote wa Kigamboni
Zingatia kwenda na viambatanisho vyako...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, amezungumzia suala la urais 2015, na kusema wakati muafaka ukifika atazungumza.
Wasira ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya...
napenda kutoa pongezi kwa viongozi wa chadema na wananchi wote wa Arusha,kudhihirisha kuwa ccm hawana chao hapo.
Nianze pia kupongeza ccm kwa kujiandalia kaburi 2015,kodi ya simu iliyopitishwa...
By CHARLES ONYANGO-OBBO | Sunday, July 14 2013 at 12:30
Some very angry words have been exchanged since Tanzanias President Jakaya Kikwete suggested in Addis Ababa in May that Rwanda and...
Wakuu,
Nimesikia hili Tangazo la kupeleka mabomba yakusafirisha Gesi kutoka Mtwara..
Ni kwanini wanafanya hili zoezi wakati huu?
Serikali ya JK ni ya Ajabu sana!
Wanaona Tupo kwenye mwezi...
Jamani wanajamvi, hivi karibuni kamati kuu ya CHADEMA iliketi na kutoka na mapendekezo kuhusu katiba mpya...
Nilisikia kuwa wameandaa kijitabu ambacho kimebeba maoni ya CHADEMA kuhusu katiba...
Kampuni ya kichina ya CPI-China Power Investment imeingia mkataba wa makubaliano na Shirika la Umeme Tanzania-TANESCO wa kujenga mitambo ya gesi ya kufua umeme wa MW 600 katika eneo la Kinyerezi...
NA MIMI SITAKI, NAMUUNGA MKONO NYERERE.
MWALIMU NYERERE;
SITAKI URAIA WENU, NASEMA KAMA MNAVUNJA MUUNGANO WA SASA CHUKUENI NA URAIA WENU, NIMEOMBA URAIA CUBA AMA VENEZUELA...
Viongozi wa chama changu CCM,nina waomba muwe na mikakati ya kukujenga chama na si kukimaliza CHADEMA,tukubali tu kuwa hawa jamaa wa CHADEMA hatuwawezi,strategies zao ni za kisomi sana kuliko za...
Wakuu
Ni karibu mwezi na ushee sasa umepita tangu Mama yetu aje na hoja za serikali juu ya mji mpya wa Kigamboni baada ya kutoka ziara yake ya kikazi nchini Malaysia, wadau wengi kupitia jamvi...
By REX CHIKOKO in Blantyre | Tuesday, July 16 2013 at 19:52
UNDP has provided start up funds for the Malawi-Tanzania lake dispute mediation.
The Southern Africa Development Corporation...
Baada ya kumwona Tundu Lissu akiigusia Ripoti hii, nimeonelea ni vema niwashirikishe ripoti yenyewe kwakuwa haikuwahi kuwa kwenye public domain.
Ni Ripoti ya utafiti iliyokuwa commissioned na...
Jamani mimi sijaona jipya kwenye vyama vinavyoamini kwenye umaskini sana, siasa, misaada, idea mfu kama benki ya watoto, vijana, wanawake etc... wakati mabenki yako kibao...Nataka siasa za...
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, ametoa misaada yenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 40 jimboni mwake yakiwamo madawati 315 yatakayogawanywa...
Ni katika kipindi cha jenerali ulimwengu on monday
ananza kwa kushukuru watanzania wote waliomuombea
then anatoa pole kwa watz juu ya misiba ya wanajeshi...
......
PIA, SOMA:
Absalom Kibanda...
Taifa Letu Tanzania!!
Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana hela.
Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma sana
Taifa ambalo bank haikutafuti wewe ndio unaihonga ili...
kijana jitambue,
ni sisi ndio tunasimama kwenye vituo vya kupiga kura,wao wanazunguka katika magari,na wakija kupiga kura wanapishwa
ni sisi ndio tunapigwa virungu na mabomu na maaskari,wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.