Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,401
kwa taarifa nilizozipata nikuwa Nape anampango wa kukimbia CCM mda si mrefu na kuhamia chama cha NCCR-Mageuzi.
kwa taarifa nilizozipata nikuwa nape anampango wa kukimbia ccm mda si mrefu na kuhamia chama cha nccr-mageuzi.
Haa haa haa haakwa taarifa nilizozipata nikuwa Nape anampango wa kukimbia CCM mda si mrefu na kuhamia chama cha NCCR-Mageuzi.
kwa taarifa nilizozipata nikuwa Nape anampango wa kukimbia CCM mda si mrefu na kuhamia chama cha NCCR-Mageuzi.
Arusha vipi, haujakomoliwa vya kutosha.Udaku wa tz daima umehamia jf
Jamani, mbona mnaanza kumgombania wakati mara zote mnampinga? Au ndo sizitaki mbichi hizi?Nape ni CHADEMA dam.
Dah, kweli Nape amekuwa lulu sasa mpaka vyama vyote wanatamani aende kwao. Big up sana Nape na endelea kuchapa kaziAaaaaaaaaah haiwezekani Nape huyuhyu?
Kwa nini asiende Ccj?au kwa nini Asiende Cdm?
Najua Ccm ameichoka.Maneno yake ya kuitukana Cdm yanamng'arimu.najua moyoni mwake anatamani kuja Cdm!
Kuna taarifa zingine zinasema kuwa slaa na lwakatare wampango wa kukimbia chadema na kujiunga na cuf.
kwa taarifa nilizozipata nikuwa Nape anampango wa kukimbia CCM mda si mrefu na kuhamia chama cha NCCR-Mageuzi.