Tuesday, July 16, 2013 | 10:15 PM
Jaji Buxton Chipeta.
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu Tanzania, Buxton Chipeta amefariki dunia muda mfupi...
Jumapili wakaazi wa Arusha wa kata za Themi,Kimandolu,Kaloleni na Elerai wanategemea kupiga kura kuchagua madiwani wa maeneo yao.
Uchaguzi wa mwaka 2010 ushindani mkubwa ulikuwa baina ya CCM na...
Edwin Mtei
MAPENDEKEZO haya nayaandika ili niyatumie nitakapopata fursa ya kukutana na Tume ya Marekebisho ya Katiba. Endapo tume itayataka baada ya maelezo yangu, nitawaachia nakala ili...
Nation in tears!! Rudisheni wanetu nyumbani. Tanzania haiko vitani. Tunafanya nini Darfur ambako eti haturuhusiwi kutumia silaha? JWTZ boys have nothing worth dieing for at least for now. Long...
Hebu tuyapitie mashairi haya ya wimbo wa Bob Marley na tuyaangalie kwa jicho la tofauti. CCM ni mti mkubwa na CHADEMA ni kishoka kidogo tu kilichonolewa barabara.
Why boasteth thyself
Oh, evil...
WanaJF!
Leo ni siku ya kesi ya bwana Lwakatare kusikilizwa kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, lakini kesi imehairishwa mpaka July 22, 2013.
Pamoja na hayo, mshitakiwa na.2 bwana...
Wadau je mawaziri wa serikali ya mapinduzi Zanzibar wanalipwa masilahi kama wanayolipwa mawaziri wa Tanzania bara, na je mawaziri wa Zanzibar nao wanatembelea kwenye magari aina ya Toyota...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanikiwa kunasa siri za mipango ya hujuma zilizokuwa zimeandaliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata nne za...
Habari zilizonifikia ni kwamba, wapiga kura wote waliopokea chochote kutoka CCM Arusha na kugoma kuipigia CCM kura, watakumbwa na chungu hicho..ole wako kama ulipokea chochote, chungu kitakula...
Dr. Kiiza Besigye anayeongoza upinzani nchini Uganda na ambaye anamnyima usingizi mtawala Museveni aweka wazi jinsi anavyoipenda Chadema na kukiri kuwa kina vijana mahiri waliojtoa kutetea...
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo...
Mimi mwenyeji wa monduli nimekuwa nje ya wilaya kwa muda mrefu lakini niliporudi nilikuta monduli ni vile vile hakuna chochote, watu wamechoka sana, wanaishi mazingira magumu sana, mifugo hawana...
WanaJF;
Tumekuwa kila siku tukiongea humu jukwaani kuhusu jeshi la polisi kufanya kazi kwa kukibeba chama cha Mapinduzi, nafikiri jeshi la polisi limekuwa kiziwi, wameamua kuweka chini weledi wao...
Kesho kutakuwa na mkutano utakao kuwa na wabunge wa kanda ya ziwa, utakaofanyika kesho soko jipya Biharamlo mjini na vitongoji vyake. nitawaletea yatakayo jiri
Kuna watu wanajidanganya sana Kwa kusema yule meya wa kichina wa jiji la Arusha hataondolewa. . Meya huyu hakushushwa kutoka mbinguni mpaka asiweze kutolewa. Kama Rais wa jamuhuri ya Muungano...
Im 100% member of CCM and I do not have a plan to change, because CCM hasvision although some of its leader has no love to fellow Tanzanians, they aredoing and living as if there is other planet...
1. Bajeti nzima ni Trilioni 18.2; ambapo Trilioni 11.1 sawa na 61% zitakusanywa kutoka kwenye mapato ya ndani (GBS itakuwa ni Trilioni 1.16, pia wafadhili watatoa Trilioni 2.7 ni misaada na mikopo...
Kwa wale ambao mnakumbuka kuwa siku ya ijumaa usiku wa manane Polisi kutoka Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni wakiongozwa na RCO wa Kinondoni walienda nyumbani kwa Mbowe majira ya saa saba usiku kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.