Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama ilivyo ada kwa serikali ya CCM kufumbia macho maslahi ya umma na kuwabeba wawekezaji huku raia wakiachwa na athari za uchimbaji madini tanzania, UCHIMBAJI UNAOTARAJIWA KUANZA HIVI KARIBUNI WA...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
na Tatu Mohamed SERIKALI imepanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Tanzania hadi Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) katika kipindi cha miaka mitatu ijayo. Kauli hiyo ya serikali...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
HEBU TUANGALIE MTIRIRIKO WA MATUKIO HAYA AMBAYO YALIFUATIWA NA MATAMKO TATKA YA CHADEMA 1.Tukio: Matukio la Gazeti la MWANAHALISI la kuchapisha taarifa iliyodaiwa kuwa ni mazungumozo kati ya...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
-Mimi ni support wa Mwalimu,at least aliishi kwa mfano.Unaweza kuona family yake,hakujihusisha na deal za kishenzi na alikuwa na msimamo. -Tukumbuke Nyerere alimweka Mkapa.Alitushawashi wa Tz...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu. Leo majira ya saa 9, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, kamanda Freeman Mbowe akiandamana na viongozi kutoka Makao Makuu na wabunge wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, atakuwa na mkutano wa...
25 Reactions
280 Replies
24K Views
Hapa nchini tunaambiwa na vyombo vya habari kuwa akari wetu waliuawa na waasi wa Sudan! Waasi wako weni ni nani hasa mtuhumiwa ????? Ukisoma habari nyingi na reputable news wordwide waasi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Uzinduzi wa kanda ya kusini mjini Songea leo. hakuna kulala mpaka kieleweke... HATIMAYE MIRADI YAKAMILIKA CCM YAZIDI KUTIMIZA AHADI PICHANI NI Mlezi wa ccm mkoa wa pwani bibie zakhia...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Akihojiwa ktk kipindi cha dakika 45 amesema anakubali sana serikali tatu kama ilivyopendekezwa na tume ya warioba, though anapinga spika na naibu wake kutotoka ktk vyama.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni fedheha sana kuwa muumini wa uwongo…ni fahari kwa mwanadamu kuusimamia kweli…tunu ya ukweli na haki ni heshima!!! Nimefadhaika sana na vijana wanaotumia jukwaa hili kuwasemea watu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu Nimekuwa nikijiuliza maswali kuhusu Meya mpya wa Arusha, baada ya CHADEMA kushinda kata zote, kwa hali ilivyo hakuna jinsi lazima meya atokane na CHADEMA, watu wengi wa Arusha wanaulizia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamvi. Uchaguzi wa Bavicha unatarajiwa kufanyika mwaka huu mi napendekeza Mwenyekiti anayefaa wa kumrith John Heche ni Laurent Mngweshi Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Katavi. Twende...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Ikupendeze Mtukufu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mimi nakuomba uwezeshe ujenzi wa Mahakama ya Mwanzo yaMailimoja-Kibaha. Mahakama hii pamoja na kuwa 'usoni' kabisa mwa Mji wa Kibaha,ina mazingira...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali imeanzisha mfumo mpya wa kukusanya takwimu zote za kila mtumishi wa umma, ili kupata taarifa zote sahihi na kuhakikisha vyeti vinavyotumiwa na watumishi hao ni sahihi na halali...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza nawapongeza kwa uchambuzi wenu wa kina mlioufanya kwenye rasmu ya Katiba mpya. Mambo mengi mmeyaeleza na kuweka msimamo. Pamoja na msimamo wenu nashukuru kwa kumalizia kila hoja kuwa...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
What Goes around comes around. Magamba sasa wanazinduka nao wnapata kibano kwa amri ya Waziri Mkuu wao.......................... MBUNGE wa Bumbuli (CCM), January Makamba, amemuandikia barua...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza...
1 Reactions
93 Replies
8K Views
Is Obama talking to Kagame through Kikwete about Congo? Tanzanian President Jakaya Kikwete sparked the outrage of Rwandan President Paul Kagame and other prominent Rwandans last week when he...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tundu Lisu anajidanganya Star Tv eti CHADEMA ndio wapinzani wengine wanafuata Msafara amesahau CUF ndio walioweka presha Tz kukaja mfumo wa vya vingi 1992 na hadi leo ndio chama pekee kilicho na...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Salamu wanaJF, Kupitia kauli ya kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) juu ya uimarishaji kimafunzo kwa Red Guard, napenda kutoa angalizo hili: Katika kambi ambazo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ni kwa nini Elimu lisiwe ni suala la kikatiba badala ya kuwaachia watu wachache kulishikilia?, Katika nchi zote zilizo endelea Elimu imewekwa kipaumbele cha kwanza na bila shaka hakuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…