Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Askofu KKKT atahadharisha uanzishwaji vikundi vya ulinzi Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Dodoma, Amon Kinyunyu, amesema kitendo cha viongozi wa vyama vya...
0 Reactions
176 Replies
14K Views
CHADEMA tabia ya kupeana taarifa kila mnaposikia kiongozi yeyote wa chama chenu ameitwa na vyombo vya sheria kama polisi kuhojiwa au kukamatwa kwa kosa ni nzuri, ila mnakera mnapoanza kushusha...
1 Reactions
113 Replies
7K Views
Imekuwa ni kwaida kwa chama tawala cha ccm kutumia dola kama njia ya kufikia malengo yake ya kisiasa,hii ni kinyume na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tz.Tumeshuhudia jinsi serikali ya ccm...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kweli Tsh 1000 si kitu? Hivi watu laki moja wakikuchangia buku moja moja utakuwa na Tsh milioni 100! Watu milioni 20 wakichanga elfu moja moja unapata 20,000,000,000 (Bilioni 20)na hii ni...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Tanzania Bara, Julius Mtatiro Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema maandamano ambayo awali kilipanga kufanya Juni 29, mwaka huu kuelekea Ikulu lakini...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
DKT. LUCAS WEBIRO WA CHADEMA ANZA ZIARA YA KICHAMA BUNDA MJINI LEO. Madhumuni ziara ya Dkt.Lucas Webiro wa CHADEMA yatakuwa ni kuwapatia nguvu wananchi na shauku ya kushiriki katika kupigania...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Nashangaa sana Naibu waziri wa mawasiliano Mh Makamba akiibuka sasa kwa nguvu zote kujitetea na kulaumu wabunge wote kuwa walipitisha huo mswaada,Je umesahau kuwa ni wabunge wa CCM na washirika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
Kwa vile Zitto ameonekana kuwa ana nia ya kugombea uraisi mwaka 2015 baada ya muda wa maendeleo ya uhakika yanayoletwa na Kikwete kuisha. Ni vyema sasa ikaangaliwa kwa upande wa ccm ni kina nani...
0 Reactions
166 Replies
20K Views
  • Closed
KASHFA zaidi za Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba kuendesha kampeni za kidini kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao zimezidi kuanikwa. Wakati kashfa nyingine iliyomtuhumu...
3 Reactions
299 Replies
20K Views
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda, ameleezea shaka yake kuhusu kuwapo kwa juhudi za kupotosha kwa makusudi uharamia aliofanyiwa wa kutobolewa jicho, kukatwa kidole...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
WanaJF, Nimesikitishwa sana na tamko lililotolewa na chama cha CUF kupitia kwa aliyejiita Abdul Kambaya, Naibu Mkurugenzi wa Habari, Haki za Bainaadam na Mahusiano ya Umma. Sipendi kugusia...
4 Reactions
113 Replies
10K Views
Mnamo Tarehe 12/02/2013 Vijana waliokuwa wametimuliwa katika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitangazwa kwamba wamehamia CCM. Vijana hawa walipokelewa kwa Mbwembwe katika Mkutano wa...
18 Reactions
102 Replies
10K Views
Katibu wa CUF bara alitangaza kwamba sasa anavalia njuga, pamoja na kulaani sana JWTZ kutesa raia wanaopingana kimawazo na Baadhi ya viongozi wa serikali. Kulitolewa tuhuma kwamba JWTZ...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
IMekuwa ni tabia ya CHADEMA kutembeza bakuli kwenye mikutano yao ya hadhara na kuomba kuchangiwa pesa kwa ajili ya mafuta ya helikopta, mikutano ambayo inafanyika takribani kila mwezi ikiambatana...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
  • Closed
Mtatiro najua unajua wazi kuwa chama chako cha CUF hakna mwelekeo, tena kimefilisika kama alivyofilisika mwenyekiti wako mdini Lipumba, hata mtoe matamko elfu 7 hamtaweza kumsafisha mwenyekiti...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Kufuatia kikao cha mwafaka cha viongozi wa vyama vya CCM, CHADEMA na NCCR Mageuzi mkoani Kigoma kwenye Halmashauri ya Uvinza, muafaka huo umegoma kupatikana kufuatia kile kilichodaiwa kuwa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Wednesday, July 17, 2013 Soma Taarifa Maalum Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Sudan Mheshimiwa Omar Bashir kufuatia kuuawa na kujeruhiwa kwa askari...
0 Reactions
87 Replies
9K Views
Ndugu zangu wanaJF, Tafadhali naomba mnikumbushe kwa yeyote anayekumbuka siku ya 90 ya Mapacha watatu (EL, AC na RA) zinaisha lini? Au kama utakuwa unakumbuka siku zilipoanza kuhesabiwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF, Kadiri upepo unavyovuma huko kusini mwa Tanzania kwenye mkoa wa Mtwara kuhusiana na Gasi Asilia hali inazidi kubadilika kila kukicha. Kwa wale mnaofahamu historia na Siasa za Nigeria...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mh. Tindu Lisu jumapili iliyopita alikuwa mtaani kwetu, Tegeta. Mkutano alioufanya ulitisha, maudhurio utadhani mgombea urais. Mh. Mdee mbunge wa Kawe CHADEMA, M.kiti wa jimbo, mhenezi, katibu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom