N.A.M ilikuja baada ya vita baridi kuwepo kati ya USA na URUSI, sasa ukomunisti umekufa na vita baridi kutokuwepo tena, sasa N.A.M ina kuwepo kwa jambo gani?Mbio za mwenge nazo sijui zina maana...
Ndugu wana JF habari zenu,
Nimekuja tena kuwajuza namna serikali ya CCM inavohujumu wafanyakazi wake na hasa WALIMU,ni hivi majuzi tu walimu waligoma na kupelekea wanafunzi kuhaha huku na kule...
Baada ya ziara ya Rais Black Obamiza kuwabamiza `mkenge walevi kwa kuhalalisha ujambazi wa Richmonduli, alipofungua mradi wa Symbiosis bint Richmonduli bint Dowans bint EPA bint Luwasha, kikao...
Waziri Mgimwa na Waziri wa Sayansi na Teknolojia-Makame Mbalawa, wamesema suala la tozo la simu tsh 1000 kwa mwezi kwa kila simu card, haliwezi kubatilishwa mpaka litakaporudishwa tena bungeni...
Taarifa kwa raia wote...kesho mambo yote
Mabibo Uwanja wa Sahara....
Dk Slaa.Mnyika,mabere marando.Tundu Lisu watawasha Moto...
Amka tuikomboe Dare es laam.
Sambaza kwa wengineo taarifa hii...
Ngoma itakuwa tarehe 15 sept. 2013.
CHADEMA watajitokeza wengi sana kugombania hiyo nafasi. Atakayeshinda anakiwakilisha chama, walioshindwa wanaongoza kampeni.
Kwa CCM itakuwa korokocho...
Kweli siku ya kufa CCM kila kitu kitawapuuza,kila kazi wafanyayo inakuwa kufuru ktk nchi.Pmoja na kuwa CCM inatumia hela,vitisho kuwakusanya na kuwanunu waandishi wa habari wa vyombo vyote nchi...
Wakati tunafikiria mkataba wa banadari ya bagamoyo.Tayari uwanja tuliodhani kuwa ni msaada wa china na hela ya wavuja jasho wa tanzania.Tunasikia kila siku hela ya mchina?Je serikali ilifanya kama...
D.E.O msingi wilaya ya mbinga amekuwa anafanya kazi kwa migogoro na ubabe uliovuka mipaka kwa muda mrefu sasa.kwanza aliwalazimisha walimu wakuu kutumia fedha za captation kulipia mitihani ya kata...
WAKATI taasisi ya Kijerumani ikitoa ripoti iliyoainisha ‘madudu' mengi yaliyofanywa na Serikali ya Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeanika matukio yote mabaya...
Ndugu zangu watanzania wenzangu, ninaleta kwenu baadhi ya uovu wa serikali ya CCM na uteuzi wa viongozi unao likumba taifa letu kwa kulindana katika ngazi za juu. Kabla ya kuanza na viongozi...
Wapinzani wa nchi hii kuna wakati wanashangaza sana,
Alianza mbowe kwenda ikulu kufuata mwaliko wa ziara ya obama kipindi kifupi tuh mara baada ya kutoka kukoswa koswa na mabomu huko arusha,watu...
Kudhihirisha kuwa Hoja ya Kodi ya laini za simu imekuwa mwiba mkali kwa serikali na viongozi wake, na kuendelea kwa malalamiko ya Wananchi watumia simu kuwa kodi hiyo haikubaliki (japo imeanza...
Mashirika ya Umma yaagizwa kuchangia asilimia 10 ya mapato yake ili kunusuru hali hiyo Dar es Salaam. Miradi mbalimbali ya Mashirika ya Umma nchini, iliyopangwa kutekelezwa Mwaka 2013/2014...
*Ni kwenye kongamano la wazi
KONGAMANO la wazi la Wizara ya Nishati na Madini jana liligeuka kuwa mwiba kwa Waziri Profesa Sospeter Muhongo baada ya kusisitiza msimamo wa serikali kuhusu gesi ya...
Habari tena wanaJF,
Katika kipindi ambacho kimeendeshwa mchana wa leo na radio EBONI FM ya iringa,wageni walikuwa ni Katibu wa CCM mkoa wa iringa,mbunge wa iringa mjini kupitia CHADEMA na mzee...
Kiongozi wa Mbio za mwenge kitaifa Juma Ali sumai akisalimiana na Na Mama mzaziwa waziri Mkuu Pinda muda fupi baada ya kuwasili kijiji hapo ukiwa katika wa mbio za mwenge na kufungua miradi minne...
Habari wote wana JF,
Nianze tu kutoa tafisiri sahihi ya neno BIG RESULT NOW-yaani MATOKEO MAKUBWA SASA kama ilivo tafsiriwa ktk waraka huu wa serikali na wanasiasa wetu.
Katika ukurasa wa 3,kwa...
Gazeti la mwananchi lina habari kuwa CCM wametoa Waraka wa Kupinga Rasimu ya Katiba Mpya kama ilivyotolewa na Tume ya Jaji Warioba.
Kama kawaida yao, wametoa sababu za kufikirika sana na zaidi ya...
Chama Cha Mapinduzi kimetoa mwongozo wake kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya, kikipinga mambo mengi yaliyomo ndani ya rasimu hiyo iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Mwananchi ambayo ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.